Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Kama ulifanya kazi kwa jasho na ukachangia mifuko,lazima ulipwe,hatutaki dhulumati dhulumati
Mkuu umenifanya nicheke sana..Warudishe hela za watu hao.Ujanja ujanja hakuna labda afafufuke.
 
Basi hamna shida ya ubinadamu...kinachotakiwa ni kuwafukuza na hamna kupata mafao kwa sababu hawastahili kupata.
kumbuka mzee hata ukiua raisi anauwezo wa kutoa msamaha mkuu huo ni msamaha kawapa kwa kuitumikia taifa kwa vigezo vya kugushi
 
kumbuka pia raisi anatoa msamaha kwa wahalifu mkuu jielewe
Tatizo ni kwamba kuna watu hawataki msamaha kwa sababu labda anamfahamu atakayelipwa sasa anataka ateseke asilipwe. Maana najaribu kuwaza kwann uumie mwingine akisamehewa sipati jibu.
 
Hamna kitu kama hicho...na wale ambao walistahili kwa wakati ule kupata hizo kazi una walipa vipi?

Dhumuni la adhabu ni kuhakikisha kwamba hilo kosa halirudiwi tena. Hivyo basi, ni lazima yule mkosoja wa kwanza apewe adhabu kali sana.

Ukianza kuleta mambo ya ubinadamu ujue itafika sehemu utajifunga mikono wee mwenyewe na itakuwi vigumu kufanya maamuzi.
 
Watu wanaotaka wasisamehewe nawafananisha na yule mtu aliyepata bahati ya kutembelewa na malaika na kuambiwa omba lolote nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili yako, sababu ya roho nyeusi akaomba chongo.

Mtu anapewa msamaha apewe yale makato yake tu kwa ajili yake na wategemezi wake wewe huku mishipa inakaza unataka asipewe.
 
kumbuka mzee hata ukiua raisi anauwezo wa kutoa msamaha mkuu huo ni msamaha kawapa kwa kuitumikia taifa kwa vigezo vya kugushi
Sawa toa msamaha laki kwa nini wapewe mafao ambayo hawakustahili kupata to begin with?

Mesejintuyawaam ia vijana ni kwamba ah usijali tumia vyeti feki na wala hutapata matatizo kivile...alafu hao hao tunataka uadilifu kutoka kwa watumishi.
Hizi ni double standards. Hivyo basi tusilalamike pale ambapo watumishi wanapokuwa wanafoni risiti na vitu vingine.
 

Hapana hapa amezungumzia darasa la saba tuu karudie hotuba
 
Sio yeye atakayefunga watu 1000 wala mimi kupata kitu chochote,hiyo ni sheria kufuata mkondo mkuu,wapewe haki yao ya mafao ila tusiishie hapo kama walighushi na sheria ina maelekezo yake kwa mtu aliyeghushi,nao ufuatwe halikadhalika.
Uwe unatumia akili kwahiyo na waliowaajiri nao , na waliowathibitisha kazini nao washtakiwe ? . Tumia akili roho mbaya weka pembeni .
 
Hakuna ulijualo. Wa vyeti fake hawahusiki katika malipo hayo
 

Walikatwa 5% ya mishara yao ww mshipa unakutoka kweli. 5% walikatwa ikaenda kwenye mifuko ya jamii, hiyo ndo wakisamehewa wanalipwa daah🤣🤣🤣
Wasiposamehewa pia ni sawa tu ila inashangaza kushupalia wasisamehewe.
 
Ila wanaona jizi la tilioni moja ndio shujaa , mzalendo , kipenzi cha wanyonge aiseeee .
 

 
Aliyefoji thesis ya PhD ya maganda ya korosho yeye ndio binadamu wengine sio .
 
Mwendazake aliamua kuwapunguza watumishi Ili kupunguza gharama kisha apeleke pesa apatakapo
 
Hivi adui wa chadema hasa ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
Hivi Rais wa wa wanyonge hasa ni nani,
Hitler wa Chato aliefukuza wafanya kazi na kupora mafao yao, au ni Rais Samia anaeagiza wanyonge walipwe haki zaidi walizozitolea jasho.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…