Hamna kitu hapo.Hapo sawa!
Tengeneza tatizo kisha lipe ufumbuzi halafu upate political mileage !Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Hao watu hawana maana! Maneno mengi!Wamajitekenya wenyewe wanacheka wenyewe ,jamani wekeni tosa ya asilimia tano au kumi kwa chochote kile,waTanzania wengi wataweza kulipa bila ya kuongopea,yaani hata wale wamachinga mamantirie wote watatoza kodi kwa mteja ,kazi nyepesi tu lakini weziwetu wanatukamua kisha wanalegezea kisha wanazukia kwengine wanakamua.
VAT ni kitu simple sana ila hawa weziwetu wanatuchezesha foliti.
Wee acha kabisa, utasabibisha wimbo upigwe marufukuAnajiko.....!
Anajikosha.
Hata afanye nn ashachafuka. 2025 CCM hatumpitishi
Yaani miezi yote alikuwa wapi? Vifurushi alisema warekebishe mambo yale yale ujinga ujinga tu!Wee acha kabisa, utasabibisha wimbo upigwe marufuku
Kwani wakati wanaweka Tsh 100 kila lita ya mafuta walijua bei ya mqfuta itashuka?Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Hao wajinga na walaaniwe watakapo toa pongeziSi alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Yeye katoa maelekezo watz wajinga tayari tutamsifia, je yatatekelezeka? Au ndo waziri mwenye dhamana atajitokeza kutolea ufafanuzi wa maelekezo ya mama🤣🤣🤣🤣Tengeneza tatizo kisha lipe ufumbuzi halafu upate political mileage !