Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwani Lisu hana chake tena hapo ufipaAnajiko.....!
Anajikosha.
Hata afanye nn ashachafuka. 2025 CCM hatumpitishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Lisu hana chake tena hapo ufipaAnajiko.....!
Anajikosha.
Hata afanye nn ashachafuka. 2025 CCM hatumpitishi
Akagombee kwao Zanzibar.Anajiko.....!
Anajikosha.
Hata afanye nn ashachafuka. 2025 CCM hatumpitishi
🙆🏽♂️🙆🏽♂️Akagombee kwao Zanzibar.
2025 hatuchagui Mzanzibari wala hatuchagui mwanamke.
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Ngoja nimtag ashushe pongezi zake CM 1774858Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Mpaka 2025 tuta ona mengi ya kustajabisha ndani ya Tanzakiza
😍👍Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)
Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini
View attachment 1963765
View attachment 1963769
👍Mkuu Kinkunti El Perdedo mbona hapo mama kaelekeza sawa kabisa? Kwa mtizamo wangu huu uamuzi umechelewa sana.
Ahsante
Na hapo ndipo fundisho lina kuja kwamba wabunge wa Ccm hupitisha vitu bila kufikiria. Ndio maana bosi wao akasema sheria hupitishwa akiwa amelala.Kutoa maelekezo ni jambo moja, na kutekeleza ni jambo la pili.
Alisha agiza kuacha kubambikia watu kesi je Siro kaacha? Alisha agiza wasio na makosa watolewe mahabusu je? /vitengo wamewaachia?
Aliagiza mikutano ya ndani isibughudhiwe. Majibu na vitendo vya Siro na watu wake wamefikia wapi? Alisema vifurushi virekebishwe hebu tumuulize Mwigulu huyu watakae gombea nae urais kwenye chama chake kama alitii amri ya Mh Rais? Maana nakumbuka alituambie tusio taka tozo tuhamie Burundi
Hongera mama , serikali yako ni sikivu.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi