Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Kuna kitu hujakielewa hebu tuliza akili keanza uelewe
 
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Usiangalie yeye kutaka kupokea pongezi hapo umeangalia hili suala kisiasa. Angalia ule ukweli kuwa maamuzi yamefanyika baada ya kikao na hao jamaa wa Ulaya.
 
Aidha, Rais Samia pia ameagiza ufanyike mchakato wa haraka wa kupeleka marekebisho ya Sheria Bungeni zinazohitaji marekebisho ya haraka katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta hapa nchini, ili kumlinda mtanzania na gharama za maisha zinazotokana na kupanda kwa bei ya mafuta
Swali fikirishi sheria ya manunuzi ya pamoja inasemaje 'bulk procurement act'
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi

Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)

Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini.

Hivi aliyeleta hizo tozo ni nani ?
Anzisha tatizo kisha litatue ili upewe sifa !
 
Tanzania mafuta yakipanda leo Duniani, bei inapanda siku hiyohiyo ila mafuta yakishuka bei huko Duniani Tanzania tutaambiwa kuna shehena ya zamani ilinunuliwa kwa bei ya zamani.

Unajiuliza mbona kwenye kupanda hatuambiwi kuna shehena ya zamani tusubiri iishe?

Magenge ya wauza mafuta wameweka pale mawakala wao huko ewura, tunaokamuliwa ni sisi choka mbaya.
Wauza mafuta ndiyo watunga sera za Tanzania akina Mwigulu Nchemba
 
Sikuona sababu ya kuongezaga ile sh.100, bahati mbaya mama Samia nae akasema ni ndogo tu. Leo naona wanaanza kuiondoq, ni Jambo zuri ila muwe mnatafakari kabla ya kuongeza
Toka ameingia mafuta yanapaa kama mwewe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chief hangaya na msimamo hana, wacha tuone ayo malekezo
Aliwaambia washushe tozo za miamala ya simu watendaji wakasema mpaka bunge lirekebishe vifungu, wakakauka
Akawaambia washushe bei za vifurushi vya simu wakakauka
Sijui hili la mafuta litafanyikaje kama nyuma hawakumsikiliza
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi

Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)

Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa
Mh. Rais amepunguza tozo kwenye mafuta, na wote tumesifu hili suala maana bei ya mafuta ukubwa wake unatokana na tozo na Kodi mbalimbali.

Lengo la kufuta baadhi ya tozo ni kumpunguzia mwananchi mzigo mkubwa. Cha kushangaza baada ya hizo tozo kupunguzwa mafuta yamepanda bei leo.
Mh. Rais amepunguza tozo kwenye mafuta, na wote tumesifu hili suala maana bei ya mafuta ukubwa wake unatokana na tozo na Kodi mbalimbali.

Lengo la kufuta baadhi ya tozo ni kumpunguzia mwananchi mzigo mkubwa. Cha kushangaza baada ya hizo tozo kupunguzwa mafuta yamepanda bei leo.
 
Aliwaambia washushe tozo za miamala ya simu watendaji wakasema mpaka bunge lirekebishe vifungu, wakakauka
Akawaambia washushe bei za vifurushi vya simu wakakauka
Sijui hili la mafuta litafanyikaje kama nyuma hawakumsikiliza
Chief hangaya bana
 
Back
Top Bottom