kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Na mbaya zaidi viongozi ndio wafanya biashara hiyoTanzania mafuta yakipanda leo Duniani, bei inapanda siku hiyohiyo ila mafuta yakishuka bei huko Duniani Tanzania tutaambiwa kuna shehena ya zamani ilinunuliwa kwa bei ya zamani.
Unajiuliza mbona kwenye kupanda hatuambiwi kuna shehena ya zamani tusubiri iishe?
Magenge ya wauza mafuta wameweka pale mawakala wao huko ewura, tunaokamuliwa ni sisi choka mbaya.