Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

Bei ya bando imepanda kuanzia tarehe mosi hili nalo lahitaji kuangaliwa.
Umeme na mafuta Kuna makato mengi ajabu.
Hivi EWURA wanafanya kazi gani Hadi wapewe mipesa yote hiyo?
 
Chief Hangaya unatengeneza matatizo halafu unajifanya kuyatatua. Hizo zilikuwa siasa chafu za Magufuli achana nazo.
 
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia

Bhebhe nang'ho!! Kwaiyo unataka bei iendelee iyo iyo co? Akipandisha munamponda, akishusha hamushukuru.
 
Hii mambo ya kutengua maamuzi yenu na kutufanya mnatujali kumbe ni uongo hatupendezwi kwani kabla ya kufanya maamuzi huwa hamkai pamoja na kumtathimini mipango yetu
 
Hawa jamaa hawa..
Yani km wanataka kupandisha bei ya mafuta toka 2300 to 2700.. wanachokifanya wanapandisha mpaka 3000 .... Halafu anakuja Chifu wa maChifu anajifanya kupnguza mpaka 2700 (ile waliyoilenga)

Wananchi wanashangilia.. Usanii mtupuu
 
πŸ˜πŸ‘
 
SIEMPRE CHIFU MKUU MH.RAIS SSHπŸ‘πŸ’ͺ😍

#NchiKwanza
 
Waondoe na tozo ya parking,
Jamaa kapigwa 40,000 kariakoo eti parking ya siku sita,
Kisa eti kachelewa kulipa, yaani hukuti risiti wao wanapiga picha tu kisha deni linazaliana tu,
Mwendo wa kuoneana tu
 
Na hapo ndipo fundisho lina kuja kwamba wabunge wa Ccm hupitisha vitu bila kufikiria. Ndio maana bosi wao akasema sheria hupitishwa akiwa amelala.
 
Hongera mama , serikali yako ni sikivu.

Kwa kuwa kwenye soko la Dunia bei ya mafuta imepanda Sana ni jambo jema kwa serikali kufuta tozo zisizo na tija kwa Wananchi mathalani Ewura,Tasac,Wakala wa vipimo nk..

Zibakie tozo za maana tuu..πŸ‘‡

 
Stamp/muhuri wa TRA kwa ajili ya mikataba ya kukopeshana 10,000/- . Unalipia kwa control number, na unashauriwa ulipe kwenye simu kuepuka foleni. Kwenye simu si mnajua kinachoendelea.

Kuna uwezekano, 1.9 T imekusanywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…