Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Hujaelewa kuna tozo karibia 10 za ajabu ajabu kwenye kila lita moja ya mafuta inayoingia nchini,kitu ambacho kinasababisha mafuta hayo hayo kutoka bandarini kwetu Dar yakifika Zambia wao bado bei kwa lita ni chini ya 1800. Kuna tozo sijui EWURA, Bandarini, TRA, wakala wa vipimo, TBS na zingine kibao!! Hapa ilitakiwa zingine siyo kupunguza bali zifutwe kabisa na tungenunua petrol kwa 1500 kabisa hapa.Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Jambo jema.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)
Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini
View attachment 1963765
View attachment 1963769
Prof Lumumba anasema those with power have no ideas and those with ideas have no powerHao wajinga na walaaniwe watakapo toa pongezi
Tanzania mamlaka zake hazina uwezo wa kubuni vichocheo vya uchumi wanachojua in tozo tuRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)
Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini.
Those with no profile, can not be heardProf Lumumba anasema those with power have no ideas and those with ideas have no power
Naona Mh Waziri kaamua kujilipua kivyakevyake....na kwa vile ni "Good Communicator" basi atakuwa anawaacha wenzake mbali Kabisa kujenga na kutetea hoja.....Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)
Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini.
Wajinga mnaopinga kila kitu anachofanya Rais SSH mupo na mojawapo ni wewe Usher-smith MD. Wewe hata Serikali ikitaja jinsia yako utaibishia tu alimradi umebisha.Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Ni Kama mabeberu tu unatengeneza Ebola halafu unatengeza chanjo.Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Kuumia kote huku tulikuwa tunasubiri asimame jukwaani, mbona angeweza kuandika kimemo tu akawapaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi
Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo ya miundombinu) na Mamlaka ya Mapato (Tozo ya kuchakata taarifa)
Imeelezwa, Rais Samia amechukua hatua hiyo kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika Soko la Dunia, hali ambayo imekuwa ikiathiri watumiaji hapa Nchini.
C unakumbuka ishu ya tozo walivyoicheza kisanii sasahv kimyaaaa baada ya kupunguza 30%Hawa jamaa hawa..
Yani km wanataka kupandisha bei ya mafuta toka 2300 to 2700.. wanachokifanya wanapandisha mpaka 3000 .... Halafu anakuja Chifu wa maChifu anajifanya kupnguza mpaka 2700 (ile waliyoilenga)
Wananchi wanashangilia.. Usanii mtupuu
Utasikia maandamano ya kumpongeza hangayaYeye katoa maelekezo watz wajinga tayari tutamsifia, je yatatekelezeka? Au ndo waziri mwenye dhamana atajitokeza kutolea ufafanuzi wa maelekezo ya mama🤣🤣🤣🤣
Akagombee kwao Zanzibar.
2025 hatuchagui Mzanzibari wala hatuchagui mwanamke.