Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Kuna kitu hujakielewa hebu tuliza akili keanza uelewe
 
Si alipandisha juzi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Leo anataka asifiwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kuna wajinga wanatoa pongezi na kumsifia
Usiangalie yeye kutaka kupokea pongezi hapo umeangalia hili suala kisiasa. Angalia ule ukweli kuwa maamuzi yamefanyika baada ya kikao na hao jamaa wa Ulaya.
 
Swali fikirishi sheria ya manunuzi ya pamoja inasemaje 'bulk procurement act'
 
Hivi aliyeleta hizo tozo ni nani ?
Anzisha tatizo kisha litatue ili upewe sifa !
 
Wauza mafuta ndiyo watunga sera za Tanzania akina Mwigulu Nchemba
 
Sikuona sababu ya kuongezaga ile sh.100, bahati mbaya mama Samia nae akasema ni ndogo tu. Leo naona wanaanza kuiondoq, ni Jambo zuri ila muwe mnatafakari kabla ya kuongeza
Toka ameingia mafuta yanapaa kama mwewe
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 chief hangaya na msimamo hana, wacha tuone ayo malekezo
Aliwaambia washushe tozo za miamala ya simu watendaji wakasema mpaka bunge lirekebishe vifungu, wakakauka
Akawaambia washushe bei za vifurushi vya simu wakakauka
Sijui hili la mafuta litafanyikaje kama nyuma hawakumsikiliza
 
Mh. Rais amepunguza tozo kwenye mafuta, na wote tumesifu hili suala maana bei ya mafuta ukubwa wake unatokana na tozo na Kodi mbalimbali.

Lengo la kufuta baadhi ya tozo ni kumpunguzia mwananchi mzigo mkubwa. Cha kushangaza baada ya hizo tozo kupunguzwa mafuta yamepanda bei leo.
 
Aliwaambia washushe tozo za miamala ya simu watendaji wakasema mpaka bunge lirekebishe vifungu, wakakauka
Akawaambia washushe bei za vifurushi vya simu wakakauka
Sijui hili la mafuta litafanyikaje kama nyuma hawakumsikiliza
Chief hangaya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…