Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Angekuwa Waziri wake, mtoto wake ametekwa ingekuwaje. Nina uhakika alijua vyote kabla havijatokea. Alipewa taarifa,akaikubalu.Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
Bila kuja na plan mbadala ya njia ya ukamataji wa kihalali na uwazi ni bure
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
ni muhimu sana,Ninaamini kauli hii ya Rais Samia ni ya dhati. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Ally ametekwa na kuuawa na kile kinachojiita kikosi kazi/task force. Ndani yake wamo polisi, TISS na JWTZ. Sasa vyombo alivyoviagiza Rais vifanye uchunguzi, ni chombo gani nje ya hawa wahusika wakuu?
Hiki kikosi cha kiharamia kisipovunjwa na kupotezwa, kadiri kinavyozidi kunogewa na damu za watu, kuna siku kinaweza kuwageukia hata wao wenyewe au wapendwa wao.
Hawa wauaji, Rais Samia amewalea mwenyewe. Watu wanatekwa na kuuawa, yeye anasema kuwa eti ni drama!! Halafu akaongeza kwa kusema kuwa eti anawapongeza nchi imekuwa shwari. Baada ya hizo pongezi, wakaongeza uovu.
Ukute alieratibu utekaji ndie anae manage hiyo twitter account.Na wewe umemwamini kwamba polisi watafanya uchunguzi wa haki?
Ulitaka akina nani wachunguze mkuu?Binafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili
Kitafutwe kiiniNami nasubiri!
Rais Samia mtimue DGIS na IGP na Awadhi! utakuwa umejivua uhusika wa hili!
Nami nasubiri!
Rais Samia mtimue DGIS na IGP na Awadhi! utakuwa umejivua uhusika wa hili!
Mama kasema....
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
Kitafutwe kiini
Basi wapigie simu na kuwaambia wafanye uchunguzi hiyo serikali ya nchi uuijuayo huko sayari ya JUPITER....Binafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili
Sisi sio wajinga.At least hili suala ameli-address
Upuuzu upi sasa?!!Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
Drama Queen by Sueco