TZ ni kama utawala wa sheria haupo tena..na hakuna pa kukimbilia. Speaker wa Bunge alisema ni uongo na hana taarifa za watu kupotea...watu wanaleta mambo ya Makaburu au Wakoloni...imagine watu wanalipa kodi n.k lkn serikali inashindwa kutoa majibu kwa vitu vinavyoleta shida na taharuki kwa jamii.
Pia haya mambo huwa hayana pozi..huyu alikuwa mwanajeshi lkn watu wametembea naye..hivyo watz wenzetu wanaojifanya haya mambo hayawahusu yatawagusa tu ipo sikilu..huwezi kuwa polisi milele, mwanajeshi milele, TISS milele, speaker, milele, Waziri mkuu milele au Rais milele au ukoo wako wote na watoto wako hawawezi wakawa kana wewe..
Viongozi wengine wa jamii hasa wa Dini wakemee sana haya mambo, naonwasijione wako safe - hizi mambo kila mtu linaweza mkuta..