Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

TZ ni kama utawala wa sheria haupo tena..na hakuna pa kukimbilia. Speaker wa Bunge alisema ni uongo na hana taarifa za watu kupotea...watu wanaleta mambo ya Makaburu au Wakoloni...imagine watu wanalipa kodi n.k lkn serikali inashindwa kutoa majibu kwa vitu vinavyoleta shida na taharuki kwa jamii.

Pia haya mambo huwa hayana pozi..huyu alikuwa mwanajeshi lkn watu wametembea naye..hivyo watz wenzetu wanaojifanya haya mambo hayawahusu yatawagusa tu ipo sikilu..huwezi kuwa polisi milele, mwanajeshi milele, TISS milele, speaker, milele, Waziri mkuu milele au Rais milele au ukoo wako wote na watoto wako hawawezi wakawa kana wewe..
Viongozi wengine wa jamii hasa wa Dini wakemee sana haya mambo, naonwasijione wako safe - hizi mambo kila mtu linaweza mkuta..
 
Wale wanaomsingizia Rais wameumbuka.

Tunasubiria taarifa ya Polisi Kwa Rais.

Mwisho huyu anatetewa Kwa vile ni Kiongozi ila wengine hakuna anaewatetea Wala kuwajali.
 
Rais anaruhusu huu uhuni, hivi vitu halafu anasema atachunguza. Mamlaka alizo ziteua. Kujichunguza mwenyewe, ina ingia akilini kwako? Watachukua muda, mtasahau.
 
So what, ndo hivyo mzee hatunae tena ,ingekua ni deni ,lingelipwa , ingekua ni kifungo bado ndugu na jamaa wangekua na matumain kwamba ipo suku kitaisha , sasa uhai hauna mbadala , dadekii nimeumia sana ,sana ,sana sana
 
Msiwe kama mambumbu. Samahani najua wewe siyo mbumbumbu. Naomba tu ujiulize au umuulize, wale walimteka Satifa na kumpeleka kituoni na kutaka kumuua ili aliwe na fisi wako wapi? Aliwachukulia hatua gani? Haoni kuwa angekuwa amechukuwa hatua leo haya yasingetokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…