Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Tena MWISLAMU mwenzie...
 

Baada ya Lissu kuoigwa risasi,. Mwenda zake ali agiza uchunguzi ufanyike kugundua walio husika. Wakati yeye ndie alio watuma. Je haya yanayo endelea sasa hivi kwenye utawala wa mrithi wake kwanini tusiamini ni mwendelezo wa yale yale?
 
Binafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili
Yaani wakubaliane kirahis kirahis? Kwamba wataangushiwa jumba bovu? Watulie halafu yaendelee
 
Taarifa zote anazo, aache ngonjera zake
 
Apewe taarifa ya Nini wakati alishasema utekaji ni drama TU za baadhi ya watu......!

Angefurahi tu maelekezo yanafanyiwa kazi kikamilifu.
 
Ameshapata idadi ya aliotaka wawe eliminated ndo sasa anakuja kusema amesikitika

Nitakuwa mnafiki nikisema namuamini
 
Binafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili

Kwa hiyo hutaki Marehemu apatiwe haki yake?....acha kukaza shingo
 
Sami
Kiukweli Hari si shwari tena inchini.

watu wanatekwa" watu wanakutwa wameuwawa" watu wanapigwa mbele ya camera na vyombo vya dora na niviongozi wa upinzani"

nimda sasa

Raisi yupo kimya jeshi la police lipo kimya why?"" Leo raisi anasema amepokea kwa.masikitiko habari hizi za kifo

Kwanini huyu tu wale wanyuma hawakuwa watu?

Niikumbushe tu serikali yangu kwamba hakuna ufalme pasipo watu watu ndio ufalme tulinde watu wetu tuta ulinda ufalme wetu
 
Si CHADEMA WALISEMA MAMA Ameimarisha democrasia🙂🙂😁
Ona yayo wapata
Mara oohh MAGUFULI alikuwa dictator hay
MAMA KAFUNGUA NCHI😁😁
 
Nimuungwana sana na ametumikia serikali na Chama cha mapinduzi kwa nyakati tofauti kwenye historia yaake inaonyesha alishawahi kuwa mwanajeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…