Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Hamna kitu , the lady is red devil Kama devil wengineo. Hata alipopigwa RISASI LISU, JPM ali tweet na kutoa amri vyombo vya ulinzi vifanye uchunguzi. CCM na serikali ya Samia are responsable, tweet yake haina maana. Narudia tena watanzania Adui namba moja kwa Tanzania sio umasikini wala Ujinga, Adui namba moja ni CCM , na yeyote mtanzania unatakiwa kuipiga vita CCM mpaka damu ya mwisho. CCM imeshaumiza wengine sna. Ni wakati umefika wakurudisha majibu. It does not just happen to others , the opposite is true

How do you feel , umezaliwa na mama yako dunian kwa heshima tu ; then unakubali kuua mtu just kwa maslahi ya bibi ushungi, a person ambae she is a human like you and , probably hana hata 30 years ya kuishi dunian based on life expectancy data!

How do you feel unatoka kuua mtu na kurudi home kuikuta familia yako ipo salama, just you are enjoying kids wakikuita dad, huku umetoka kuua dad wa mtu , shame !

CCM na washiriki wake under Samia will pay this , kama sio leo basi ni kesho. Kama sio wewe basi familia yako
It is matter of time

Man was not born to be slave forever
 
Sijui anajisikiaje yule madam spika. Watu wanaumia yeye anaona siasa tu
 
Ni wazi kuwa Kuna syndicate katika jambo Hilo, either kama ni kumchafua RAIS, serikali anayoongoza au whatever,but kama Mh RAIS kaagiza hivyo basi ni vyema tukapata taarifa kinagaubaga...
 
Ni wazi kuwa Kuna syndicate katika jambo Hilo, either kama ni kumchagua RAIS, serikali anayoongoza au whatever,but kama Mh RAIS kaagiza hivyo basi ni vyema tukapata taarifa kinagaubaga...
Haiwezi kuwa inatoka kwa rais,kuna wahuni wapo kazini kuchafua utawala
 
Kumekuwa na utekaji, utesaji na mauji ambayo yamekuwa yakifanyika kwa kipindi kirefu sasa hapa Nchini.
Kutokana na hali hiyo, tunataka kusikia kauli yako wewe kama Mkuu wa Nchi.
Ikumbukwe kuwa, siku ulipizaji visasi utakapoanza, hakuna mtu wa chama, Dini au kabila lolote atabaki salama, na dhambi hii utaibeba wewe mwenyewe kama Mkuu wa Nchi.
Tafadhali, tunataka kusikia kauli yako.
 
wamegusa pabaya,
 
Mimi ningeshauri ifanyike dua maalum kuwalaani wale wote wanaohusika na mauaji na utekaji,,(wasiojulikana)

Ila watakaokuja kufanya vurugu ili jambo la dua lisifanyike,,
Tutajuwa ndy hao wasiojulikana .
 
Tatizo ni kubwa zaidi ....

Hao watu wenye uwezo wa kublock basi tena na gari mbili mbele na nyuma ...watu wawili wanaingia na machine gun na pingu juu ...na bado polisi wanasema hawajui ni nani ?

Kwani hapa tupo Somalia au Congo msituni kwamba silaha zimezagaa hovyo hovyo ?

Na kama hali iko hivi ... Je wananchi inabidi tukatae wito wa kukamatwa kama MTU hana kitambulisho ..
Piga kelele mpaka mtaa 6 waje, hapo utasalimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…