Dar Haina bondeni, its a matter of drainage system basi......wakazi wa karibu na mto Sinza watanielewa.Hiyo nne mbona ni nyingi tu, hiyo no zawadi wamepewa na mama mwenye huruma kwa kuishi bondeni kinyume cha sheria.
Uko sahihi kabisa,hawa watu miaka nenda rudi wako hapo licha ya serikali kuwashauri kuhama,kila mwaka yakitokea mafuriko wanaathirika na msimu wa mvua ukipita wanarudi tena kuishi. Kuwapa hela na kuwaambia wahame kwa hiari ni sawa na kutupa tu hizo fedha kwani watazipokea na hawatahama.Ni vizuri,ila Ingependeza kama wangeamriwa kuhama kwa lazima .
Walishawahi pewa hadi viwanja mabwepande na mifuko ya simenti bure waliuza viwanja hadi simentiKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Tuwekee hapa hiyo taarifa.Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
Kwahiyo Zanzibar haitakuwepo?Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
Africa hii hii au nyingine mkuu!hapo ukoo wa kina marope ndio utakaojiandikisha majina mengi hata walengwa wenyewe huo msaada usiwafikie,ebu ulizia ilivyokua pale machinga complex kama hata kuna machinga aliewahi kupata fremWashauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.
Hili swali serikali ikilijibu! Wawape sasa hizo 4m zaoKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Wamuulize Yusuf Makamba akiwa mkuu wa mkoa wa Dar essalaam na uzoefu wake kipindi chake kuhamisha hao watuMama anaupiga Mwingi, hongera kwake Kwa roho ya ubinadamu alioionyesha, walipaswa kuhamishwa Kwa lazima bila kupewa chochote na kufunguliwa mashtaka maana walishaonywa ujenzi wa mabondeni ni Hatari. Kisheria kuhatarisha Usalama wako na wa raia wengine Kwa namna yoyote ile ni kosa la jinai..
Baada ya Hatua hii Hilo eneo libaki wazi ama wapewe wakulima wa Mboga mboga na matunda wafanye Yao.
Hawawezi, hata hizo kaya 2400 wamefanya lini hiyo sensa? hapo unaweza kuta kaya ni 1200 pekee na 1200 ni kupigaHili swali serikali ikilijibu! Wawape sasa hizo 4m zao
wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi?
Makosa haya ya wengine ndio yamemfanya aingiwe na huruma na kuamuru hivyo, maana asingefanya hivyo bado swali lako hili lipo palepale. Kwahiyo wasirudi tena, watafute pa kwenda.
Zoezi hilo likishamalizika, DC, RC, na timu nzima inayodili na usalama wa watu na mazingila ikizembea kwa kuwaacha raia kuendelea kuishi humo, wasilaumu mtu kitachowakuta.
Jamaa Hamas wanakuchanganya au?Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
wahihama inatakiwa pavunjwe na wajengewe nyumba za bei nafuu kwa mkopo wa riba nafuuWalishawahi pewa hadi viwanja mabwepande na mifuko ya simenti bure waliuza viwanja hadi simenti
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kipindi hicho Yusuf Makamba akaenda kubomoa vijumba vya wasambaa wenzie pale jangwani na akashika bomoleo mwenyewe akaanza kubomoa kwa mikono yake wakamloga aliumwa karibu afe Akawacha
Wale hawataki kuhama jangwani wanasema karibu na mjini utafiiiri wao ndio wamiliki wa jiji la Dar wakizidiwa mafuriko serikali ikituma uokozi wanakubali maji yakikata wanarudi serikali ikisema kukitokea janga tena hatuji kuwasaidia wanasema kwani tuliwaomba mje kutusaidia? Tuacheni msije kukitokea tena
Wale watu ni shida
of course, it's a Joke, Kibaya zaidi wamemvuta mpunga wa WB alafu wamewaambia WB Pale hakuna Raia wanamiliki hapo kwahiyo hamna fidia, Kikwete alipeleka watu mabwepande wakauza wakarudi tena hapo hapoKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Walishapewa na vifaa vya ujenzi wakauza vyote wakarudi jangwaniWatafute maeneo
Unanunua kiwaja IM the mil 2 unajenga chumba kimoja