Dar Haina bondeni, its a matter of drainage system basi......wakazi wa karibu na mto Sinza watanielewa.Hiyo nne mbona ni nyingi tu, hiyo no zawadi wamepewa na mama mwenye huruma kwa kuishi bondeni kinyume cha sheria.
Hapa Mama atakuwa ameshauriwa na mafisi madhulumati, wawaondoe wanyonge bila fidia kisha wagawe maeneo upya.
Kumbuka mradi wa DMDP una mpango wa flood control Kwa mto Msimbazi, kuujengea mto na kujenga mabwawa ya kupunguza speed ya maji, baada ya hapo mafuriko yatakuwa historia.
Mama asikubali machozi ya wanyonge yamuelekee yeye kisa mafisi wachache, milioni 4 ni pesa gani?