Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakati wanajenga serikali ilikuwa wapi? nani alitoa vibali vya ujenzi hapo na wakati hata kwenda Ikulu haizidi 5KM?Serikali haitoi fidia inawapa hiyo kama huruma ya kuwawezesha waanze maisha tuu Kwa sababu wanatakiwa kufurushwa bila hata jero Kwa sababu wamejemga eneo hatarishi ambalo halituhusiwi kisheria.
JK aliwapa viwanja mabwepande wakauza wakarudi hapo Sasa wanatakiwa kufurushwa ila wameonewa huruma wapate pa kuanzia.
Mwisho Samia ametafuna mfupa wa Ngorongoro sembuse hapo Jangwani? Wataondoka tuu.
Wewe ukipewa 4M Dar utanunua na kujenga nyumba?Ni jambo jema 😄
Kawalipe wewe dadamil 4 zitajenga nyumba kweli? mihemko
tuwekee picha tuone hali ya mafuriko ikoje bonde hilo
Tuombe uzima maana walisema dar, Zanzibar na pemba after 50s years kina cha bahari kitapungua hivyo maji yatapanda juu, Wazanzibar wajanja wameshaanza kununua maeneo morogoro! na kuendelea na maisha,ghalaga bhao!, UMUHIMU WA MUUNGANO NI MKUBWA MNO KWA MUSTAKIBALI WA FUTURE!Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
Akishanunua kiwanja inapaswa aibomoe nyumba yake achukue matofali na mabati aende kujengea kwenye kiwanja chake kipyaKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Cement na mchanga atatumia huo huo?Akishanunua kiwanja inapaswa aibomoe nyumba yake achukue matofali na mabati aende kujengea kwenye kiwanja chake kipya
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Waliaotoa vibali vya ujenzi ni serikali hao hao mbaya zaidi hata Ikulu ipo palepale karibu, serikali ina majizi yanapiga pesa za uendelezaji wa jijiMi sio mwelewa wa mambo meng ila ningependa kuuliza iv serikal kwann isifanye mpango wa kuhamisha jiji la dar
Namaanisha km nigeria walivyofanya baada ya kuona adis ababa haijakaa sawa kimipango miji waliamua kujenga mji mwingne wa abuja
Kwa jinsi ninavyo iona dar kuibadilisha na kuiridisha ktk utaratibu mzuri wa mipango miji itaitaji pesa nying sana na pia itaitaji ulipaji mkubwa sana wa fidia kwa wananchi na wakaz
Lakin pia kuboresha miundombinu yake ili iendane na maitaji ya sasa itakua kaz sana na usumbufu mkubwa kwa wakaz wa dar
WatavunjiwaKifuta jasho au?
Maana mvua ikiisha wataendelea kuishi hapo hapo kama miaka yote
Mwenye ywezo wa kulipa hawezi ishi hayo maeneo ambayo mvua ikinyesha unaishi kwa tabuWashauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.
Kwanini wasikopeshwe nyumba kwa masharti nafuu? atafutwe Mwekezaji apewe hilo eneo awajengee nyumba njeMwenye ywezo wa kulipa hawezi ishi hayo maeneo ambayo mvua ikinyesha unaishi kwa tabu
Walishapewa bure wakauzaWatafute maeneo
Unanunua kiwaja IM the mil 2 unajenga chumba kimoja
Ww kaa hapo alafu maji yaje useme maji wakati ninajenga ccm haikuniambia hapa kuna majiKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Hahaha!!!!nani huyo???Ila bora Samia, marehemu bichwa angewafukuza kwa kutumia jeshi na hata mia wasingepata
Duh! Kumbe Addis Ababa iliamishwa kutoka Nigeria mpaka Ethiopia!!Mi sio mwelewa wa mambo meng ila ningependa kuuliza iv serikal kwann isifanye mpango wa kuhamisha jiji la dar
Namaanisha km nigeria walivyofanya baada ya kuona adis ababa haijakaa sawa kimipango miji waliamua kujenga mji mwingne wa abuja
Kwa jinsi ninavyo iona dar kuibadilisha na kuiridisha ktk utaratibu mzuri wa mipango miji itaitaji pesa nying sana na pia itaitaji ulipaji mkubwa sana wa fidia kwa wananchi na wakaz
Lakin pia kuboresha miundombinu yake ili iendane na maitaji ya sasa itakua kaz sana na usumbufu mkubwa kwa wakaz wa dar
Basi sawaWw kaa hapo alafu maji yaje useme maji wakati ninajenga ccm haikuniambia hapa kuna maji