Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakati wanajenga serikali ilikuwa wapi? nani alitoa vibali vya ujenzi hapo na wakati hata kwenda Ikulu haizidi 5KM?Serikali haitoi fidia inawapa hiyo kama huruma ya kuwawezesha waanze maisha tuu Kwa sababu wanatakiwa kufurushwa bila hata jero Kwa sababu wamejemga eneo hatarishi ambalo halituhusiwi kisheria.
JK aliwapa viwanja mabwepande wakauza wakarudi hapo Sasa wanatakiwa kufurushwa ila wameonewa huruma wapate pa kuanzia.
Mwisho Samia ametafuna mfupa wa Ngorongoro sembuse hapo Jangwani? Wataondoka tuu.