Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Serikali haitoi fidia inawapa hiyo kama huruma ya kuwawezesha waanze maisha tuu Kwa sababu wanatakiwa kufurushwa bila hata jero Kwa sababu wamejemga eneo hatarishi ambalo halituhusiwi kisheria.

JK aliwapa viwanja mabwepande wakauza wakarudi hapo Sasa wanatakiwa kufurushwa ila wameonewa huruma wapate pa kuanzia.

Mwisho Samia ametafuna mfupa wa Ngorongoro sembuse hapo Jangwani? Wataondoka tuu.
Wakati wanajenga serikali ilikuwa wapi? nani alitoa vibali vya ujenzi hapo na wakati hata kwenda Ikulu haizidi 5KM?
 
Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
Tuombe uzima maana walisema dar, Zanzibar na pemba after 50s years kina cha bahari kitapungua hivyo maji yatapanda juu, Wazanzibar wajanja wameshaanza kununua maeneo morogoro! na kuendelea na maisha,ghalaga bhao!, UMUHIMU WA MUUNGANO NI MKUBWA MNO KWA MUSTAKIBALI WA FUTURE!
The president of Kiribati, Anote Tong, is in talks with Fiji's military government to buy up to 5,000 acres of land in order to relocate the 102,697 people that live in his country.

President Tong tells The Telegraph that this is their last resort: "Our people will have to move as the tides have reached our homes and villages."
->>In fact duniani Vipo visiwa 11 hatarini.
 
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Akishanunua kiwanja inapaswa aibomoe nyumba yake achukue matofali na mabati aende kujengea kwenye kiwanja chake kipya

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mi sio mwelewa wa mambo meng ila ningependa kuuliza iv serikal kwann isifanye mpango wa kuhamisha jiji la dar
Namaanisha km nigeria walivyofanya baada ya kuona adis ababa haijakaa sawa kimipango miji waliamua kujenga mji mwingne wa abuja

Kwa jinsi ninavyo iona dar kuibadilisha na kuiridisha ktk utaratibu mzuri wa mipango miji itaitaji pesa nying sana na pia itaitaji ulipaji mkubwa sana wa fidia kwa wananchi na wakaz
Lakin pia kuboresha miundombinu yake ili iendane na maitaji ya sasa itakua kaz sana na usumbufu mkubwa kwa wakaz wa dar
 
Waliaotoa vibali vya ujenzi ni serikali hao hao mbaya zaidi hata Ikulu ipo palepale karibu, serikali ina majizi yanapiga pesa za uendelezaji wa jiji
 
Hakuna cha kupinga wala kuleta kelele wamepewa hiyo milioni 4 kwa ajili ya ardhi, kisha nyumba inathamininiwa, nimeona mtu hapo kapata milioni 15, ardhi milioni 4 na nyumba milioni 11.

Sio lazima wake dar(mjini) nje ya dar kuna maeneo makubwa tu kwa bei nzuri tu, mkuranga hapo heka milioni 2+ na lina mimea fresh tu.
 
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Ww kaa hapo alafu maji yaje useme maji wakati ninajenga ccm haikuniambia hapa kuna maji
 
Sasa mil 4 itawasaidia kwa lipi jamani?
 
Mi sio mwelewa wa mambo meng ila ningependa kuuliza iv serikal kwann isifanye mpango wa kuhamisha jiji la dar
Namaanisha km nigeria walivyofanya baada ya kuona adis ababa haijakaa sawa kimipango miji waliamua kujenga mji mwingne wa abuja

Kwa jinsi ninavyo iona dar kuibadilisha na kuiridisha ktk utaratibu mzuri wa mipango miji itaitaji pesa nying sana na pia itaitaji ulipaji mkubwa sana wa fidia kwa wananchi na wakaz
Lakin pia kuboresha miundombinu yake ili iendane na maitaji ya sasa itakua kaz sana na usumbufu mkubwa kwa wakaz wa dar
Duh! Kumbe Addis Ababa iliamishwa kutoka Nigeria mpaka Ethiopia!!
 
Sijui wanazungumzia eneo lipi hasa la Jangwani sababu ipo sehemu walilipwa pesa na kupewa viwanja Mabwe Pande enzi za Jakaya Kikwete.
Wengine waliuza viwanja walivyopewa wakaendelea kuishi au kupangisha watu kwenye nyumba zao za Jangwani na Kigogo eneo la mafuriko.
Sasa kama ni eneo hilo ndiyo hili la Sasa watakuwa wanalipwa mara ngapi?
Kama eneo linalopakana na Magomeni pale hawakulipwa na Kikwete hivyo haki yao kulipwa sasa.
 
Back
Top Bottom