kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hii ni kuwakomoa yaani nauli ya guta!Rais Samia aagiza wananchi 2400 waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria, kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja.
Then, wahame kwa hiari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kuwakomoa yaani nauli ya guta!Rais Samia aagiza wananchi 2400 waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria, kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja.
Then, wahame kwa hiari.
Mkuu una uhakika kaya zinafika 2400? nina % ndogo sn, utakuka kaya ni 900 zingine zinapigwa, kama walihama kwanini hapakuvunjwa? kuna watu wananufaika kupitia hizi fidia za kitapeliof course, it's a Joke, Kibaya zaidi wamemvuta mpunga wa WB alafu wamewaambia WB Pale hakuna Raia wanamiliki hapo kwahiyo hamna fidia, Kikwete alipeleka watu mabwepande wakauza wakarudi tena hapo hapo
HahahhaKiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
JKT/NHC hela za kujenga watatoa wapi!?Washauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.
Hakika mkuu, nafkiri ingekua busara sana.......Washauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.
Mbona wamasai wamehamishwa kutoka karibu na hifadhi za wanyama wanajengewa nyumba Msomera? Je, hawa si zaidi!?JKT/NHC hela za kujenga watatoa wapi!?
Kiukweli hawa modes wa JF sometimes...Mods acheni kuunganisha threads na kuedits na kuweka source za ajabu ajabu.
Nimeleta taarifa hii, nikiwa source mwenyewe kwa sababu nikuwepo kwenye tukio, Ila nyie mmedit na kuweka source mwingine,
Lakini pia cha kushangaza,mliuzima uzi wangu, mkaupelea JUKWAA jingine, mkauweka invisible ,then mmeurudisha ,acheni zenu
Mnakera sana
Magufuli wakati wake hao wangeondoshwa na karandinga la jeshi kwa kuchezea virungu vya magotini, leo Samia kaja kiungwana wanamuona mjinga!.Jamaa Hamas wanakuchanganya au?
Hao walikuwa wanaishi hapo kimakosa ,yaani walitakiwa watolewe baru bila hata Mia!! Sasa wamepewa zawadi ya milioni 4 wasepe bado unaona haitoshi!!
Kuwaongoza watanganyika Bora upewe kundi la mbuzi uwachunge
Ukilipwa unaondoka mazimaKifuta jasho au?
Maana mvua ikiisha wataendelea kuishi hapo hapo kama miaka yote
mil 4 zitajenga nyumba kweli? mihemko
tuwekee picha tuone hali ya mafuriko ikoje bonde hilo
Serikali haitoi fidia inawapa hiyo kama huruma ya kuwawezesha waanze maisha tuu Kwa sababu wanatakiwa kufurushwa bila hata jero Kwa sababu wamejemga eneo hatarishi ambalo halituhusiwi kisheria.Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
hii mambo ya kuondoa watu mabondeni ndio itatimiza huo utabiri kweli.Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
Nani kasema maji yataachwa yatawale....Yale maeneo watu wanayaangalia Kwa uchu mkubwa.hii mambo ya kuondoa watu mabondeni ndio itatimiza huo utabiri kweli.
Mabondeni huko wangejaza mavifusi ya maana watu waishi ila kuwafukuza ni kupafanya kuwe eneo la maji RASMI.
Jangwani sasa kote panaenda kuwa eneo la maji rasmi wakijenga daraja lao wakati watu walikuaga wanaishi yani badala waangalie namna ya kuondoa maji eneo husika wao wanazidi yaacha yatawale.
Bado najiuliza Mil.4 nnya kiwanja au ya kujenga nyumba?
Habari ya kuhama tumeanza kuisikia kitambo sana lakini hakuna anayehama !Ni vizuri,ila Ingependeza kama wangeamriwa kuhama kwa lazima .
unahisi watu wakiondolewa maeneo yatafanywa nini? Jangwani wamewaondoa watu wamefanya nn zaidi ya kujenga stand ya mwendokasi ambayo hawaitumiiNani kasema maji yataachwa yatawale....Yale maeneo watu wanayaangalia Kwa uchu mkubwa.
Kikubwa wawape fidia itayofanya wapate makazi ya staha....wafidiwe kulingana na walichowekeza.
Ila Yale maeneo ni potential.
Mlisikia wa Jangwani, ndio walipewa viwanja mapwe Pande.Habari ya kuhama tumeanza kuisikia kitambo sana lakini hakuna anayehama !
Ngoja tuone episode hii ya kifuta jasho cha 4M.. !!
Pale bado hawajafanya kitu, na Kwa sababu bado mradi wa DMDP wa flood control haujakamilika....Ila pale panaweza kupigwa land reclamation ya maana....yakaangushwa majengo Kama hamna kilichotokea.unahisi watu wakiondolewa maeneo yatafanywa nini? Jangwani wamewaondoa watu wamefanya nn zaidi ya kujenga stand ya mwendokasi ambayo hawaitumii
Kuna kipindi alikuwa anashauriana na RC kiazi Makala,eti wajenge soko la Machinga pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Washauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.