Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

of course, it's a Joke, Kibaya zaidi wamemvuta mpunga wa WB alafu wamewaambia WB Pale hakuna Raia wanamiliki hapo kwahiyo hamna fidia, Kikwete alipeleka watu mabwepande wakauza wakarudi tena hapo hapo
Mkuu una uhakika kaya zinafika 2400? nina % ndogo sn, utakuka kaya ni 900 zingine zinapigwa, kama walihama kwanini hapakuvunjwa? kuna watu wananufaika kupitia hizi fidia za kitapeli
 
Mods acheni kuunganisha threads na kuedits na kuweka source za ajabu ajabu.

Nimeleta taarifa hii, nikiwa source mwenyewe kwa sababu nikuwepo kwenye tukio, Ila nyie mmedit na kuweka source mwingine,

Lakini pia cha kushangaza,mliuzima uzi wangu, mkaupelea JUKWAA jingine, mkauweka invisible ,then mmeurudisha ,acheni zenu

Mnakera sana
Kiukweli hawa modes wa JF sometimes...
Angalia huu uzi wangu huu Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe
ulipowekwa...!.

Halafu hata baada ya kuwauliza modes Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe sijajibiwa chochote!.
P
P
 
Jamaa Hamas wanakuchanganya au?
Hao walikuwa wanaishi hapo kimakosa ,yaani walitakiwa watolewe baru bila hata Mia!! Sasa wamepewa zawadi ya milioni 4 wasepe bado unaona haitoshi!!
Kuwaongoza watanganyika Bora upewe kundi la mbuzi uwachunge
Magufuli wakati wake hao wangeondoshwa na karandinga la jeshi kwa kuchezea virungu vya magotini, leo Samia kaja kiungwana wanamuona mjinga!.

Watanzania ni kuwapelekea tu moto.
 
mil 4 zitajenga nyumba kweli? mihemko

tuwekee picha tuone hali ya mafuriko ikoje bonde hilo
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Serikali haitoi fidia inawapa hiyo kama huruma ya kuwawezesha waanze maisha tuu Kwa sababu wanatakiwa kufurushwa bila hata jero Kwa sababu wamejemga eneo hatarishi ambalo halituhusiwi kisheria.

JK aliwapa viwanja mabwepande wakauza wakarudi hapo Sasa wanatakiwa kufurushwa ila wameonewa huruma wapate pa kuanzia.

Mwisho Samia ametafuna mfupa wa Ngorongoro sembuse hapo Jangwani? Wataondoka tuu.
 
======================
NATOA WOSIA KWA SEREKALI :
-Baada ya mtu kulipwa jengo husika libomolewe mara moja completely na eneo liwe wazi,
ANGALIZO :

WASIPOBOMOA HAWA JAMAA WANAPOKEA FEDHA KWA SHANGWE WATALEWEA, NA BAADA YA MVUA KUISHA WATAREJEA KWENYE MAKAZI HAYO,
TO BE NOTED!
=======================
 
Watu wa climate change wanasema dsm had 2050 sehem kubwa itakuwa imemezwa na bahari..
hii mambo ya kuondoa watu mabondeni ndio itatimiza huo utabiri kweli.

Mabondeni huko wangejaza mavifusi ya maana watu waishi ila kuwafukuza ni kupafanya kuwe eneo la maji RASMI.

Jangwani sasa kote panaenda kuwa eneo la maji rasmi wakijenga daraja lao wakati watu walikuaga wanaishi yani badala waangalie namna ya kuondoa maji eneo husika wao wanazidi yaacha yatawale.

Bado najiuliza Mil.4 nnya kiwanja au ya kujenga nyumba?
 
Nani kasema maji yataachwa yatawale....Yale maeneo watu wanayaangalia Kwa uchu mkubwa.

Kikubwa wawape fidia itayofanya wapate makazi ya staha....wafidiwe kulingana na walichowekeza.

Ila Yale maeneo ni potential.
 
Nina jamaa yangu nilimshaurigi na kumuelekeza wapi panaviwanja vizuri yeye akaniona fala kaenda kununua nyumba kigogo tena kapigwa hela ndefu tu sasa juzi ananiambia hana pa kwenda na familia nyumba imejaa maji hajaokoa chochote nilimpa pole ila nilipokata siku nikajikuta nacheka.
 
Nani kasema maji yataachwa yatawale....Yale maeneo watu wanayaangalia Kwa uchu mkubwa.

Kikubwa wawape fidia itayofanya wapate makazi ya staha....wafidiwe kulingana na walichowekeza.

Ila Yale maeneo ni potential.
unahisi watu wakiondolewa maeneo yatafanywa nini? Jangwani wamewaondoa watu wamefanya nn zaidi ya kujenga stand ya mwendokasi ambayo hawaitumii
 
unahisi watu wakiondolewa maeneo yatafanywa nini? Jangwani wamewaondoa watu wamefanya nn zaidi ya kujenga stand ya mwendokasi ambayo hawaitumii
Pale bado hawajafanya kitu, na Kwa sababu bado mradi wa DMDP wa flood control haujakamilika....Ila pale panaweza kupigwa land reclamation ya maana....yakaangushwa majengo Kama hamna kilichotokea.
 
Washauri wake ni hopeless, alipaswa awaambie JKT/NHC wawaajengee nyumba za bei nafuu na wakopeshwe kwa riba ndogo kwa muda hata wa miaka 10 tena kiangazi.
Kuna kipindi alikuwa anashauriana na RC kiazi Makala,eti wajenge soko la Machinga pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Bado Goba wanajifanya watoto wa mjini ndio kwanza watu wananunua kweny mabonde.
 
Back
Top Bottom