Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Kuna kipindi alikuwa anashauriana na RC kiazi Makala,eti wajenge soko la Machinga pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tatizo wewe unaiangalia Jangwani ya sasa hivi, unadhani Yanga kuomba eneo wajenge uwanja mkubwa hawana akili?
Watu wakiiangalia Ile Jangwani mate yanawatoka Kwa uchu....such a potential land....hayo mafuriko yanazuilika, ni mipango tu
 
Serikali hii hawana hayo mawazo
Wanayo sana, issue unaweza kuwa rasilimali fedha.....ingawa kitu ambacho sielewi ni kwamba tangu Magufuli afariki mradi wa Dar-es-salaam Metropolitan umekuwa unasua sua....kumbuka mradi unafadhiliwa na benki ya Dunia.
 
Awali Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila alisema anachojua mkoa huo hauna mafuriko isipokuwa watu ndio wameziba njia zinazopitisha maji kwa kujenga na kuishi maeneo ambayo maji yanapaswa kupita.
 
Umeambiwa unaishi kinyume cha sheria lkn bado unakaza shingo pesa haitoshi basi ondoka bila kuchukua hela ya serikali.. Kuwa shabiki wa simba shida sana kila kitu kubisha
 
Hao walio kataa watajua hawajui valuation report ya nyumba haijawahi hata siku moja kuendana na thamani halisi ya nyumba .
 
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Wakati watu hao kila siku walikuwa wanapigiwa kelele kuhama kwa nini mtu anakwenda kununua kiwanja kwa makusudi? Kuna baadhi ya watu walilipwa tangu miaka ya tisini lakini pesa wamekula na bado wapo hapo.

Sasa kama kidogo wewe si ukawape hiyo difference?
 
Tulia dada angu haya mambo huyawezi
 
Back
Top Bottom