Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyumba viwili na sebulemil 4 zitajenga nyumba kweli? mihemko
tuwekee picha tuone hali ya mafuriko ikoje bonde hilo
Mahakama imewakuta wana hatia?Hiyo nne mbona ni nyingi tu, hiyo ni zawadi wamepewa na mama mwenye huruma kwa kuishi bondeni kinyume cha sheria.
MlunguraKifuta jasho au?
Maana mvua ikiisha wataendelea kuishi hapo hapo kama miaka yote
Tatizo wewe unaiangalia Jangwani ya sasa hivi, unadhani Yanga kuomba eneo wajenge uwanja mkubwa hawana akili?Kuna kipindi alikuwa anashauriana na RC kiazi Makala,eti wajenge soko la Machinga pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Serikali hii hawana hayo mawazoPale bado hawajafanya kitu, na Kwa sababu bado mradi wa DMDP wa flood control haujakamilika....Ila pale panaweza kupigwa land reclamation ya maana....yakaangushwa majengo Kama hamna kilichotokea.
Wanayo sana, issue unaweza kuwa rasilimali fedha.....ingawa kitu ambacho sielewi ni kwamba tangu Magufuli afariki mradi wa Dar-es-salaam Metropolitan umekuwa unasua sua....kumbuka mradi unafadhiliwa na benki ya Dunia.Serikali hii hawana hayo mawazo
Hahahahahahahahahahahahahahahahah.......Haya Yanga m4 hiyo mnapewa sasa mhame
Wakati watu hao kila siku walikuwa wanapigiwa kelele kuhama kwa nini mtu anakwenda kununua kiwanja kwa makusudi? Kuna baadhi ya watu walilipwa tangu miaka ya tisini lakini pesa wamekula na bado wapo hapo.Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Tulia dada angu haya mambo huyaweziWakati watu hao kila siku walikuwa wanapigiwa kelele kuhama kwa nini mtu anakwenda kununua kiwanja kwa makusudi? Kuna baadhi ya watu walilipwa tangu miaka ya tisini lakini pesa wamekula na bado wapo hapo.
Sasa kama kidogo wewe si ukawape hiyo difference?

Shida na yeye ni mvivu sn wa kusoma na kwenda field anapenda kwenda nje kuliko fieldKuna kipindi alikuwa anashauriana na RC kiazi Makala,eti wajenge soko la Machinga pale Jangwani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app