Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Makonda ndo nani?Ndugu embu sema kidogo tu hata sentensi mbili kuhusu makonda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda ndo nani?Ndugu embu sema kidogo tu hata sentensi mbili kuhusu makonda!
Mafisadi gani wamesamehewa?Mbona mafisadi wamechota mabilioni ambayo hawakuyatolea jasho na wamesamehewa.
Vyeti feki walipwe walivuja jasho kulitumikia taifa hili. Pengine jasho walilovuja ndio hilo mafisadi wamelila.
Hata hivyo pesa watakayolipwa vyeti feki hafikii ile ya ufisadi escrow 230bilioni
Je siyo kwamba hayo makato waliyokatwa ni sawa na kutakatisha pesa?Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Mkuu, mamlaka zilizotakiwa kuwahakiki ndizo zimefanya makosa.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Maana yake ameruhusu wanafunzi wajitwalie vyeti fekiNi Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Wahalifu ni marafiki wa awamu ile.Mmerithi uSadist kutoka kwa mungu wenu mfu wa chato
Vyeti vinafanya kazi?Kina DAB walikuwa na vyeti gani?Walitumikia kwa haki wakati walighushi vyeti?
Genius MH Kishimba keshasema mtaala wa wizi uanzishwe na ufundishwe kwenye shule na vyuo vyetuHii nchi nzuri sana.
Unaiba halafu unalipwa.
Hongereni kwa kulipa wezi.
Ni kama mtu anavyoweza kwenda dukani na hela feki na mwenye duka asimgundue, huwezi kumlaumu victimMkuu, mamlaka zilizotakiwa kuwahakiki ndizo zimefanya makosa.
Ukishamkubali mtu, ukakubali kazi anayokufanyia, ukampa mshahara, ukamkata mshahara kwenye mafao, unatakowa umlipe ukimuachisha kazi.
Kama.m vyeti vyake feki unatakiwa usimuajiri in the first place.
Zoezi zima halikuwa kuhusu vyeti feki, lilikuwa kuhusu kupunguza wafanyakazi kibabe bila kuwalipa malipo stahiki yao.
Wakati anatumika alitumika kifekifeki!?Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Afadhali umefafanua maana washaanza kutunga ya kwaoAmeagiza walipwe 5% walizokatwa. Zile 5% na kwa wale waliobakiza mwaka mmoja kustaafu serikali itakaa iangalie gharama ione itafanya nini.
Aliyewaruhusu waingie kazini ni nani? Ameshughulikiwa?Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Mimi naona katika hoja nyingi humu,hii yako ndiyo hoja nzito zaidi,Mbona mafisadi hayafungwi
Ila walitumia muda wao kufanya kaziKwa Haki vipi na cheti FEKI?
Mbona majeshini awakufukuzwa na Kazi wanafanya si dabo standard hiiMimi naona katika hoja nyingi humu,hii yako ndiyo hoja nzito zaidi,
Yani unamaanisha kuwa kwa kuwa jamii karibia yote ishakuwa corrupt,mabilioni ya umma yanaporwa na hakuna kinachofanyika,basi na Hawa (hata Kama hawakuingia kazini kihalali) wapewe tu malipo maana hayo ndiyo yashakuwa maisha yetu
Yani unamaanisha zaidi kuwa "hauna haja ya kuwa mtu mwema peke yako katikati ya jamii iliyokengeuka"
Hizi hoja zingine wanazosema et "Hata Kama wana vyeti feki lakini walifanya kazi na kulitumikia Taifa" kwangu Mimi naona ni hoja za kilaghai tu
Rais akitamka kitu hata kama ni mkutanoni uelewe hilo tayari ni agizo ! Vinginevyo labda aamue tena kutengua agizo lake yeye mwenyewe !! Ameshasema walipwe maana yake watalipwa tu !! Lini ndio haijulikani !!Mkuu; Swali lako hapo mwisho kama likizingatiwa kwa mujibu wa maneno yako ni HATARI kweli-kweli. Kama HAKI itazingatiwa basi ni vizuri waanze na waliowaajiri au tuseme wale walioridhika na Documents zao na kuwaingiza kazini. i.e. Waziri/Katibu mkuu/DED e.tc. wote wawajibishwe kwa pamoja wao na walioingia kazini.
Ni haki yao walipwe makato yao yaliyopelekwa kwenye mifuko ya Jamii, na kwa wale waliotumikia zaidi ya miaka 15 walipwe mafao ya kustaafu- Hii ni kwa Mujibu wa Taratibu za ki-Utumishi Serikalini.
Lakini yote kwa yote Mkuu; Ingefaa uzingatie kwamba ufanyaji / utendaji wa Serikali (sio Tz. tu, bali serikali au Taasisi zingine) mambo yote na maagizo yote ya ki-Serikali ni kwa Maandishi na ni kutoka kwa Mtu au Ofisi yenye Dhamana hiyo. Huku jukwaani tunalumbana tu. Ukiona limetoka Tangazo/Agizo Rasmi ujue ndo imepitishwa. Raisi kuzungumza katika Hotuba (Kama ni kweli) haijawa Agizo. Je, Mh. Raisi wa JMT alisema "Naagiza....."?? Endapo hakusema hivyo, basi Tusubiri kwanza kwani hujapewa hiyo kazi ya kutoa Tangazo.