Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Serikali ya ccm haipo siriasi na mafisadi.
 
Tangu lini CCM wakawajibishana?

Hao ni ukoo mmoja wa wezi, hizo ni siasa na hutasikia chochote.
 
Uzuri wa Tanzania toka ianze mafisadi wote wanatoka CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Too late hadi kina Kigwangala wameshatakasa hizo pesa haramu.

CCM ni ukoo wa panya.
 
Yuko nje ya muda
 
Mmmhhh
 
Kwenye wezi Magufuli alikuwa hafikirii mara mbili wakina Singa na Rugemalila walidakwa kama vifaranga tu, ila kwa kuwa ashatoa tamko tutegemee kamatakamata kabla ya mwaka huu kuisha.
Ule ulikuwa unafiki tu wa Jiwe.Kwani Seth na Ruge walivamia BOT wakachukue zile fedha?Walioidhinisha fedha zitoke wako mahabusu gani?

Msitufanye wajinga.
 
Wakamatwe twu
 
Kulikuwa na haja gani kutoa tamko hadharani?

Ripoti imewaweka wazi, yeye kama Rais angewaita kama wakuu ama wa Takukuru au Polisi, kuanza kushughulika na ukamatwaji wa wahusika...
Sasa kiki itapatikanaje bila kutoa matamko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…