Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Na Kuna shida gani akiongea hadharani..Kuna Nini cha kuficha?

Kuongea hadharani ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...

Kama ana nia ya kuwafikisha kwa pilato taratibu zipo wazi, ana jeshi la polisi, ana Takukuru, kuna DPI n.k...

CAG kashataja wahusika, taasisi hadharani inatosha...
 
Rais Samia amesema haya...

Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"-

Tanzania sasa kumekucha,Moto unawaka, Wale wote waliokuwa wanamchukulia Mama poa sasa moto umewaka kwa ghafla,

Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone,

Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea,
Na wale wa ripoti ya ukwapuaji BOT watashughulikuwa lini?
 
Kuongea hadharani ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...

Kama ana nia ya kuwafikisha kwa pilato taratibu zipo wazi, ana jeshi la polisi, ana Takukuru, kuna DPI n.k...

CAG kashataja wahusika, taasisi hadharani inatosha...
Kuna mtu alikuwa anapenda kuongea na vyombo vya habari kama Magufuli? Kumuapisha mtu mmoja tu ataleta media zote zikave events. Uongo uongo mtupu! Lakin mama akiongea hadharani inakuwa shida! Unafiki huo
 
Rais yoyote anayefanya maamuzi yake mbele ya watu ili tujue ni mchapakazi, anakosea...iwe JPM, iwe Samia, iwe JK n.k

Rais ni mtu mkubwa sana, ana kila madaraka ya kuamrisha vyombo vyake...
 
Kwa Africa wanapenda mtu anaelifumbia macho suala la upigaji ila ukibana sana wanakulia time

Ukiletwa uzi wa wizi kuwa mtu kaiba mamilioni na amekamatwa angalia comments za wengi ni kutetea wizi

Na wizi kwisha Africa ni impossible
 
Rais yoyote anayefanya maamuzi yake mbele ya watu ili tujue ni mchapakazi, anakosea...iwe JPM, iwe Samia, iwe JK n.k

Rais ni mtu mkubwa sana, ana kila madaraka ya kuamrisha vyombo vyake...
Sasa usimpangie, kama hilo wazo la kuwaamrisha hao limekuja hapohapo alipo, mwache afanye.
 
Rais Samia amesema haya...

Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"-

==
Tanzania sasa kumekucha,Moto unawaka, Wale wote waliokuwa wanamchukulia Mama poa sasa moto umewaka kwa ghafla,

Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone,

Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea,
Mama atuambie uhusiano wake na wafanyabiashara wakubwa wa nishati ambao umekuwa chanzo cha kupaa bei ya nishati na kuongeza ukali wa maisha
 
Wapigaji wa serikalini Tanzania huwa ni vigumu kuwazingua kwa sababu wanaishi "kimfumo" yaani akiharibu ukitaka kumgusa utajikuta unajigusa mwenyewe.
Labda tu "outsource" mahakama ya kushughulikia mafisadi wa Bongo
Wanatumia sheria kuhalalisha wizi...Ngoja tuone mama labda ana mwarobaini wake
 
Mama atuambie uhusiano wake na wafanyabiashara wakubwa wa nishati ambao umekuwa chanzo cha kupaa bei ya nishati na kuongeza ukali wa maisha
Wafanyabiashara gani na wakati kawatimua wote na sasa TPDC ndio inaagiza mafuta, Subiri utaona hapo baadae kidogo
 
Hizo pesa alizokwapua ziko wapi zirudi serikalini kugharamia shughuli za maendeleo?

Magufuli tayari hayupo duniani ni muda muafaka rais Samia kuzinyakuwa pesa hizo kuliko kupewa pesa za wafadhili kwa mashariti ya kingese

Halafu unaonekana ni zuzu unayeimba wimbo ki dogmatism,pathetic!
LAZIMA afukuliwe arudishe hela za rambirambi alizouba. Hatutakubali atokomee mazimaaa Bila kurudisha hizo hela.

KAMMMMONNN!
 
Kuna mtu alikuwa anapenda kuongea na vyombo vya habari kama Magufuli? Kumuapisha mtu mmoja tu ataleta media zote zikave events. Uongo uongo mtupu! Lakin mama akiongea hadharani inakuwa shida! Unafiki huo
Tatizo mama yetu nae hapumziki..
 
Back
Top Bottom