Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #61
How, Hupendi anachofanya Rais?Political milage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How, Hupendi anachofanya Rais?Political milage
Na Kuna shida gani akiongea hadharani..Kuna Nini cha kuficha?
Na wale wa ripoti ya ukwapuaji BOT watashughulikuwa lini?Rais Samia amesema haya...
Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"-
Tanzania sasa kumekucha,Moto unawaka, Wale wote waliokuwa wanamchukulia Mama poa sasa moto umewaka kwa ghafla,
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone,
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea,
Nadhani hujamwelewa , wenye comment yakeAcha porojo kijana. Huyo mzee wako wa Lupaso na kijana wake kama wangekuwa na nguvu hizi unazozisema hapa, wasingetangulizwa udongoni kizembe zembe hivi.
Rais hafanyi hiyo kazi yeye, Anavyombo ndio maana anaagiza sisi wacha tuone hivyo vyombo effectiveness yao
Kuna mtu alikuwa anapenda kuongea na vyombo vya habari kama Magufuli? Kumuapisha mtu mmoja tu ataleta media zote zikave events. Uongo uongo mtupu! Lakin mama akiongea hadharani inakuwa shida! Unafiki huoKuongea hadharani ni kutafuta umaarufu wa kisiasa...
Kama ana nia ya kuwafikisha kwa pilato taratibu zipo wazi, ana jeshi la polisi, ana Takukuru, kuna DPI n.k...
CAG kashataja wahusika, taasisi hadharani inatosha...
Kuna mtu alikuwa anapenda kuongea na vyombo vya habari kama Magufuli? Kumuapisha mtu mmoja tu ataleta media zote zikave events. Uongo uongo mtupu! Lakin mama akiongea hadharani inakuwa shida! Unafiki huo
Sasa usimpangie, kama hilo wazo la kuwaamrisha hao limekuja hapohapo alipo, mwache afanye.Rais yoyote anayefanya maamuzi yake mbele ya watu ili tujue ni mchapakazi, anakosea...iwe JPM, iwe Samia, iwe JK n.k
Rais ni mtu mkubwa sana, ana kila madaraka ya kuamrisha vyombo vyake...
Mama atuambie uhusiano wake na wafanyabiashara wakubwa wa nishati ambao umekuwa chanzo cha kupaa bei ya nishati na kuongeza ukali wa maishaRais Samia amesema haya...
Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"-
==
Tanzania sasa kumekucha,Moto unawaka, Wale wote waliokuwa wanamchukulia Mama poa sasa moto umewaka kwa ghafla,
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone,
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea,
Wanatumia sheria kuhalalisha wizi...Ngoja tuone mama labda ana mwarobaini wakeWapigaji wa serikalini Tanzania huwa ni vigumu kuwazingua kwa sababu wanaishi "kimfumo" yaani akiharibu ukitaka kumgusa utajikuta unajigusa mwenyewe.
Labda tu "outsource" mahakama ya kushughulikia mafisadi wa Bongo
Wafanyabiashara gani na wakati kawatimua wote na sasa TPDC ndio inaagiza mafuta, Subiri utaona hapo baadae kidogoMama atuambie uhusiano wake na wafanyabiashara wakubwa wa nishati ambao umekuwa chanzo cha kupaa bei ya nishati na kuongeza ukali wa maisha
Ndo ushangae sasa uwezo huo anao ila anasukumia wenzie zigo la mavi,.Sasa mama si aanze kwanza kwa kuwatumbua wale waliotajwa.
Vv
Mama kaongea KWA uchungu sana. Tumuombeeni mamaKumbe ufisadi mkubwa ulianzia awamu ya tano ya Bwana Chato😁😁😁
View attachment 2032507
LAZIMA afukuliwe arudishe hela za rambirambi alizouba. Hatutakubali atokomee mazimaaa Bila kurudisha hizo hela.Hizo pesa alizokwapua ziko wapi zirudi serikalini kugharamia shughuli za maendeleo?
Magufuli tayari hayupo duniani ni muda muafaka rais Samia kuzinyakuwa pesa hizo kuliko kupewa pesa za wafadhili kwa mashariti ya kingese
Halafu unaonekana ni zuzu unayeimba wimbo ki dogmatism,pathetic!
Tatizo mama yetu nae hapumziki..Kuna mtu alikuwa anapenda kuongea na vyombo vya habari kama Magufuli? Kumuapisha mtu mmoja tu ataleta media zote zikave events. Uongo uongo mtupu! Lakin mama akiongea hadharani inakuwa shida! Unafiki huo
Hakika, Leo Ndio nimeona rangi halisi ya MamaMama kaongea KWA uchungu sana. Tumuombeni mama