Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali




 

Attachments

  • VID-20220501-WA0036.mp4
    4.3 MB
Raisi kutamka ataongeza mshahara nalo ni jambo la siri? Mpaka tuanze kutafsiri kauli zake either anamaanisha hivi au vile?
Nani katafsiri ?Wananchi wameelewa.Nisije nikawa nabishana na mtu asiyejua kinachozungumzwa.Kama ingekuwa siri wananchi wasingeshangilia.Au kiswahili kinakupiga chenga.
 

Ti Ti Ti, mwanangu alinambia anataka Subaru nimemwambia ngoja nione hali, Sasa kama a nawaza namaanisha ndani ya miaka 5 nitamnunulia, he is very wrong.
 
Nilichoelewa ni pale alipokaa kimya kupisha adhana. Nadhani hilo tukio lilikuwa scripted as planned.

Lol
 
Hao wanaoiba na kufuja fedha za umma wanazitoa wapi kama uchumi wetu ni mbaya
 
Nasubiri vichwa vya magazeti ya
  1. Uhuru
  2. Habari leo
  3. Tanzanite
 
Jambo letu ni kitu gani?

Yan hata Rais mwenyewe anaona aibu kutamka neno "nyongeza ya mishahara"

Nchi hii imeharibiwa sana na CCM
 
Nani katafsiri ?Wananchi wameelewa.Nisije nikawa nabishana na mtu asiyejua kinachozungumzwa.Kama ingekuwa siri wananchi wasingeshangilia.Au kiswahili kinakupiga chenga.
Kuongeza mshahara ni neno gumu kiasi gani? Unataka kusema raisi aanaona aibu kusema mshahara utaongezeka?
 
Ni wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.
Mm swali langu kwako hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya leo?
Mjomba hukusoma fasihi wewee, hakutaka kusema hadharani kumbuka enzi za mkapa alikuwa hatamki ovyo lakini mwezi july kitu kimesoma lengo ni kuzuia kupanda kwa bidhaa ovyo elewa basii sio lazima atamke ameongeza subiri july utaona wameongezwa au laaah!!
 
Hii hoja ya kusema sijui hawezi kutamka kwa sababu bidhaa zitapanda mbona ni hoja ya ajabu? Si huyuhuyu alisema zaidi ya mara mbili kuwa kila kitu kitapanda bei?
 
Mwanza siyo mbeya
 
Raisi kutamka ataongeza mshahara nalo ni jambo la siri? Mpaka tuanze kutafsiri kauli zake either anamaanisha hivi au vile?

Watumishi vichwa maji mno wanaona kila kitu ni hisani ya Rais! Acha ikae hivyo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…