Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Correction: Mei mosi ya Kwanza ya Rais Samia akiwa Rais ilifanyika jijini Mwanza na sio Mbeya
 
Ameongeza asilimia ngap?
Unajua sisi wtz tunaishi kama ng'ombe kila kitu ni kwa hisan ya rais ilitakiwa ataje kiwango kwa asilimia mambo ya mipasho katka maswala ya kiserikali ya nini eti jambo letu Lipo na mijitu inakenua meno bila kujua nini na kiasi gani kinaingia
 
Kwa sababu kiasi hakijatajwa basi tuvumilie tukisubiri nyongeza hata ya buku
 
Aisee, wee jamaaa wewe

Utakuwa na mawazo.

Jambo letu lile ni mishahara ndugu, kasema ataongeza ila si kwa kiwnago cha TuCTA, sie wafanyakazi hewala...hata ikiwa fifty inatosha angalau.
KWA maono yako hayo utakuwa mwalimu au mgambo maisha yamepanda hivi unawaza elfu 50
 
usani mtupu
 
Siwachukii walimu Ila nasema kweli hamna akili. Angalia tu hata post zako na comment zako utagundua hamna akili.
Mm sio Mwalimu kwa kuwa nina akili
 
Tikitaka matata which sounds like sound 🤣🤣 japo mama huwa hasemi uongo,tunasubiria bajeti ya Mwigulu na salary ya July.
 
Huu uzi baadae unaweza kuja kuwa wa manung'uniko ni swala ka muda tuu[emoji1487]
 
Kutaja ongezeko la mishahara hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei,
Huo ni ushamba rais si alisema vitu vitapanda kwani alitangaza nyongeza ya mshahara kupanda kwa vtu ni principle ya demand and supply na wala sio maigizo hayo yanayofanyika
 
 
Wewe huna chochote hapo unataka kujua nini wakati wewe mchimba vyoo mtaani.
Sisi linatuhusu hili na tumekua tunatumia msemo huo.
Afterall leo ni sikuukuu ya wafanyakazi wewe mchimba vyoo haikuhusu
Kwani kuchimba vyoo sio kazi unajita mfanyakazi akili kisoda ujue kuna sector binafsi na umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…