Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

He is from Pangani, Tanga, Tanzania..

Pangani is very famous in miziziology farming..

ni utani tu, msichukulie serious..
 
Jumaa Aweso, Ubunge ni ajira yake ya kwanza, na uwaziri ni ajira yake ya tatu, baada ya kushinda ubunge pale Pangani, Tanga akitokea Chuo Kikuu, na kuwa Naibu Waziri.

Dogo anapiga mbizi sana. Anafanya kazi. Mtoa mada sikubaliani na wewe maana umemuandika Mh. Waziri kinoko sana na umejaa ghiliba na wivu
 
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi...
Kaka utakua na chuki nae tu hiyo wizara ni ngumu sana na jamaa anafanya kazi sana
 
Bukoba wana matatizo mengine lkn sio maji na umeme.
 
Hizo picha na jiwe la msingi limegeuka kuwa maji? Unamtetea lakini tunajua nyendo zake za wizi. He is just a committed thief!
 
Hizo picha na jiwe la msingi limegeuka kuwa maji? Unamtetea lakini tunajua nyendo zake za wizi. He is just a committed thief!
Wewe lini umeacha kuiba? Maji yatajileta bila mawe ya msingi? Hujaona Rais na PM wakizindua miradi?
 
Mwislamu mwenzangu lazima nimbebe. Wagalatia mlitunyanyasa Sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna sehemu msafara wa mwenge walizinduaga mradi wa maji wa mamilioni, achilia mbali jiwe la msingi, na hakujawahi kutoa maji hata nusu siku!

Kuna injinia niliwahi msikia amechezea miradi ya mabilioni, hakuna hata mradi mmoja alioufanijisha kwa 90%, na bado anadunda kuwa uraiani. Hata marehenu - Magufuli - alifura.

Tanzania ni zaidi ya hizo propaganda zinazopigwa na maafisa wa ngazi za juu.

Wewe lini umeacha kuiba? Maji yatajileta bila mawe ya msingi? Hujaona Rais na PM wakizindua miradi?
 
Kuna sehemu msafara wa mwenge walizinduaga mradi wa maji wa mamilioni, achilia mbali jiwe la msingi, na hakujawahi kutoa maji hata nusu siku!
Kuna injinia niliwahi msikia amechezea miradi ya mabilioni, na bado album kuwa uraiani. Hata marehenu - Magufuli - alifura.
Hayo hayawezi kutokea kipindi cha Samia.
 
Jamaa sijui huwa ana bahati ya NGEKEWA!!ukiangalia hakuna kitu cha maana alichokifanya kwenye wizara hiyo lakini, waliomteua wana muamini sana!!toka enzi za jiwe!!!
Ukiona hivyo pesa zinazofujwa zina mgao mpana. Maji hayahitaji balozi, maji ni uhai kila mtu anayahitaji. Maji yanajiuza yenyewe. Kumweka msanii kuwa balozi wa maji ni usanii.
 
Siamini kwanini miji,halmashauri na vijiji vingi maji ni issue wakati kuna mito na vyanzo vya maji ni vingi kuliko maelezo, nakumbuka story jamaa aliniambia wakati wa tatizo la wakimbizi wilaya ya Ngara kutokana na genocide, halmashauri ya Ngara ilikuwa na watu hata laki moja hawafiki lakini maji walikuwa hawana kabisa, then wakimbizi almost a milion wakaingia Ngara within a month, mzungu alishusha machine alichimba maji pale pale Ngara ya watu milioni bila matatizo na wakimbizi walikuwa na maji kuliko bahari ya Hindi, naamini issue sio vyanzo vya maji ni mipango mibovu tuu, halmashauri ziruhusiwe kukopa kujenga water system zao wenyewe za viwango vya juu, watalipa kwa kodi wanazokusanya na tozo za huduma ya maji, kusubiri serikali kuu ijenge maji kila kijiji ni kujidanganya
 
Back
Top Bottom