Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

Hata mimi niko nsalala mbalizi mbeya wallah maji hakuna. Sijui shida ni nini. Kiangazi shida masika hii tabu
 
Ukiona hivyo pesa zinazofujwa zina mgao mpana. Maji hayahitaji balozi, maji ni uhai kila mtu anayahitaji. Maji yanajiuza yenyewe. Kumweka msanii kuwa balozi wa maji ni usanii.
Toka amekuwa waziri ameshatimua wakurugenzi kibao lakini hakuna kitu!!
 
Nchi iliyoko jangwani Israel, ina maji mengi mpaka watu wake wanayechezea kwenye ma swimming pool na kumwagilia bustani. Tanzania kuna mvua, kuna maziwa, kuna mito, kuna bahari lakini bado kuna shida ya maji. Lini wengine mtakubali hii nchi haikuwa tayari kupata uhuru na kujitawala? Nyerere na uchu wake wa madaraka umetuponza.
 
Toka amekuwa waziri ameshatimua wakurugenzi kibao lakini hakuna kitu!!
Ndio hao waliobaki wanamhujumu.wengi wa wakurugenzi wa hizi mamlaka za maji walikuwa ni wasukuma na wahaya.na walifanikiwa kuajiri watu wao .sasa ni kama wamesusa kutoa huduma hivi.
 
Ndio hao waliobaki wanamhujumu.wengi wa wakurugenzi wa hizi mamlaka za maji walikuwa ni wasukuma na wahaya.na walifanikiwa kuajiri watu wao .sasa ni kama wamesusa kutoa huduma hivi.
Moja ya wasomi na maengineer ni wao! Nenda kafanye sensa kwenye engineering college! Utaniambia kama siko sawa!
 
Kaka utakua na chuki nae tu hiyo wizara ni ngumu sana na jamaa anafanya kazi sana
Nawe kiazi tu! Ngumu sana kitu gani? Hii miaka watu wanatuma satelite anga za juu na kurudi chenyewe, wewe unasema wizara ngumu! Ni ngumu kwa hawa waliosoma Mkwawa shujaa, weka mtu anayejua pingili za maji bhana!
 
Bwana aweso ana nafuu sana kuliko mawaziri wengi wa mboga mboka hata kama anasafisha sana nyota kule kwao pangani lakini mnyonge mnyongeni jamani , sasa huyu utamlinganisha na mzee kipara ama mkwe wetu mchengerwa? muwe mna linganisha hata kama wote ni mboga mboga ila kuna wenye unafuu jamani loh!
 
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.

Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.

Kipindi cha ukame maji ilikuwa taabu kwa kisingizio cha ukame. Eti hata Mwanza wanasumbuliwa na ukame. Mjini wa Bukoba na Musoma huko ndo usiseme kabisa! Miji ya Morogoro na wilaya zake wao walishakomaza miili kutokuwa na maji.

Naelekea Mikoa ya kusini sasa. Nimepita Morogoro tena. Bwawa limejaa maji, yanfurika. Hata hivyo mabomba hayana maji kama zile enzi za ukame! What a hell is this ministry? Hapo Moro ndo makao makuu ya bonde la wami Ruvu, limalotawala mikoa ya Dar, Pwani na moro yenyewe.

Kinachosikika ni kwamba pesa nyingi ya wizara iko bonde hili na hapa ndo inapigwa kwa ushirikiano. Huu ni mkoa ambao waziri amekuwa akionekana hata mida ya usiku ili kupiga dili zake.

Tuondolee waziri huyu. Kama bunge limeishiwa, kopa serikalini, jamani!
Kwani ni dini gani huyo waziri
 
6A37DE0B-09E8-4F0F-BDDF-A983CF457ECE.jpeg
 
Aliyemchagua ndio anajua anachofanya Aweso nyie mmekaa huko mnaleta maneno tuu.
 
Yani moro na issue ya maji. Ishukuriwe mvua watu wamejaza mpaka visoda
 
Kama fisadi kwani vyombo havipo? Afu wanaopeleka pesa ni hao hao wafanyakazi na wakandarasi kujipendekeza,huu utaratibu unafanyika Tanroads,Tarura na kokote kwenye tenda..

By the way ndio wateule wa Jiwe hao.
Mawazo kama haya ya kwako ni kama una matatizo kichwani vile! Kwa hiyo wote hao uliowataja wakila rushwa, naye anaruhusiwa? Au tunyamaze aendelee. Hiyo Wizara ni elephant kwa brain ile. Yeye pamoja Mkumbo akiwa katibu mkuu walikuwa wapigaji. Mkumbo kawa waziri huyu akaachwa na sasa anaendelea na wizi. Pale Morogoro alijidai kukosana na kijana wake aliyekuwa afisa Bonde, lakini walikuwa wote wakigawiana pesa za wizi wa miradi.
 
Back
Top Bottom