Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni awesoHata mimi niko nsalala mbalizi mbeya wallah maji hakuna. Sijui shida ni nini. Kiangazi shida masika hii tabu
Toka amekuwa waziri ameshatimua wakurugenzi kibao lakini hakuna kitu!!Ukiona hivyo pesa zinazofujwa zina mgao mpana. Maji hayahitaji balozi, maji ni uhai kila mtu anayahitaji. Maji yanajiuza yenyewe. Kumweka msanii kuwa balozi wa maji ni usanii.
Ndio hao waliobaki wanamhujumu.wengi wa wakurugenzi wa hizi mamlaka za maji walikuwa ni wasukuma na wahaya.na walifanikiwa kuajiri watu wao .sasa ni kama wamesusa kutoa huduma hivi.Toka amekuwa waziri ameshatimua wakurugenzi kibao lakini hakuna kitu!!
Moja ya wasomi na maengineer ni wao! Nenda kafanye sensa kwenye engineering college! Utaniambia kama siko sawa!Ndio hao waliobaki wanamhujumu.wengi wa wakurugenzi wa hizi mamlaka za maji walikuwa ni wasukuma na wahaya.na walifanikiwa kuajiri watu wao .sasa ni kama wamesusa kutoa huduma hivi.
Kazi ipi? kulawiti maisha ya watanzania?Hao ni vijana wa kazi maalum, siyo kama unavyodhani wewe.
Nawe kiazi tu! Ngumu sana kitu gani? Hii miaka watu wanatuma satelite anga za juu na kurudi chenyewe, wewe unasema wizara ngumu! Ni ngumu kwa hawa waliosoma Mkwawa shujaa, weka mtu anayejua pingili za maji bhana!Kaka utakua na chuki nae tu hiyo wizara ni ngumu sana na jamaa anafanya kazi sana
Kwani ni dini gani huyo waziriHuyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.
Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.
Kipindi cha ukame maji ilikuwa taabu kwa kisingizio cha ukame. Eti hata Mwanza wanasumbuliwa na ukame. Mjini wa Bukoba na Musoma huko ndo usiseme kabisa! Miji ya Morogoro na wilaya zake wao walishakomaza miili kutokuwa na maji.
Naelekea Mikoa ya kusini sasa. Nimepita Morogoro tena. Bwawa limejaa maji, yanfurika. Hata hivyo mabomba hayana maji kama zile enzi za ukame! What a hell is this ministry? Hapo Moro ndo makao makuu ya bonde la wami Ruvu, limalotawala mikoa ya Dar, Pwani na moro yenyewe.
Kinachosikika ni kwamba pesa nyingi ya wizara iko bonde hili na hapa ndo inapigwa kwa ushirikiano. Huu ni mkoa ambao waziri amekuwa akionekana hata mida ya usiku ili kupiga dili zake.
Tuondolee waziri huyu. Kama bunge limeishiwa, kopa serikalini, jamani!
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.
Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.
Kipindi cha ukame maji ilikuwa taabu kwa kisingizio cha ukame. Eti hata Mwanza wanasumbuliwa na ukame. Mjini wa Bukoba na Musoma huko ndo usiseme kabisa! Miji ya Morogoro na wilaya zake wao walishakomaza miili kutokuwa na maji.
Naelekea Mikoa ya kusini sasa. Nimepita Morogoro tena. Bwawa limejaa maji, yanfurika. Hata hivyo mabomba hayana maji kama zile enzi za ukame! What a hell is this ministry? Hapo Moro ndo makao makuu ya bonde la wami Ruvu, limalotawala mikoa ya Dar, Pwani na moro yenyewe.
Kinachosikika ni kwamba pesa nyingi ya wizara iko bonde hili na hapa ndo inapigwa kwa ushirikiano. Huu ni mkoa ambao waziri amekuwa akionekana hata mida ya usiku ili kupiga dili zake.
Tuondolee waziri huyu. Kama bunge limeishiwa, kopa serikalini, jamani!
Yaani usiulize dini tu! Ni Mwislamu wa pwani! Nasikia waislamu wa Bara wanajiuma uma tu kujidai wanapendwa na mama. Lazima utoke mikoa ya Pwani.Kwani ni dini gani huyo waziri
Mwislamu mwenzangu lazima nimbebe. Wagalatia mlitunyanyasa Sana[emoji16][emoji16][emoji16]
SawaWasiosoma awamu hii wanawatoa jasho.Ndio mkome siku nyingine.
Mawazo kama haya ya kwako ni kama una matatizo kichwani vile! Kwa hiyo wote hao uliowataja wakila rushwa, naye anaruhusiwa? Au tunyamaze aendelee. Hiyo Wizara ni elephant kwa brain ile. Yeye pamoja Mkumbo akiwa katibu mkuu walikuwa wapigaji. Mkumbo kawa waziri huyu akaachwa na sasa anaendelea na wizi. Pale Morogoro alijidai kukosana na kijana wake aliyekuwa afisa Bonde, lakini walikuwa wote wakigawiana pesa za wizi wa miradi.Kama fisadi kwani vyombo havipo? Afu wanaopeleka pesa ni hao hao wafanyakazi na wakandarasi kujipendekeza,huu utaratibu unafanyika Tanroads,Tarura na kokote kwenye tenda..
By the way ndio wateule wa Jiwe hao.