Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

JAMAA ANAPIGA KAZI,,MUSOMA MJINI MAJI SAFI TELE TUNAKARIBIA 100%,,COVARAGE na ata Idara ya Maji safi na taka,,(muwasa)awasumbui kuvutiwa bomba km unaitaji,chap Maji yanaingia,,AWESO mchapakazi
Unavyoandika nahisi hukumaliza darasa la saba. Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Mawazo kama haya ya kwako ni kama una matatizo kichwani vile! Kwa hiyo wote hao uliowataja wakila rushwa, naye anaruhusiwa? Au tunyamaze aendelee. Hiyo Wizara ni elephant kwa brain ile. Yeye pamoja Mkumbo akiwa katibu mkuu walikuwa wapigaji. Mkumbo kawa waziri huyu akaachwa na sasa anaendelea na wizi. Pale Morogoro alijidai kukosana na kijana wake aliyekuwa afisa Bonde, lakini walikuwa wote wakigawiana pesa za wizi wa miradi.
Nonsense
 
Aweso muongo, martini, msanii na mla rushwa wa kutosha. Hafai, period
 
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.

Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.

Kipindi cha ukame maji ilikuwa taabu kwa kisingizio cha ukame. Eti hata Mwanza wanasumbuliwa na ukame. Mjini wa Bukoba na Musoma huko ndo usiseme kabisa! Miji ya Morogoro na wilaya zake wao walishakomaza miili kutokuwa na maji.

Naelekea Mikoa ya kusini sasa. Nimepita Morogoro tena. Bwawa limejaa maji, yanfurika. Hata hivyo mabomba hayana maji kama zile enzi za ukame! What a hell is this ministry? Hapo Moro ndo makao makuu ya bonde la wami Ruvu, limalotawala mikoa ya Dar, Pwani na moro yenyewe.

Kinachosikika ni kwamba pesa nyingi ya wizara iko bonde hili na hapa ndo inapigwa kwa ushirikiano. Huu ni mkoa ambao waziri amekuwa akionekana hata mida ya usiku ili kupiga dili zake.

Tuondolee waziri huyu. Kama bunge limeishiwa, kopa serikalini, jamani!
Sababu ni Juma ....
 
Back
Top Bottom