..kilichotokea 2019, 2020, na 2024 unaweza kukiita uchaguzi?
..mbona siku zote Ccm wanavuruga uchaguzi na hakuna hatua zinachukuliwa?
..Lissu anaposema atavuruga uchaguzi maana yake ni atawazuia Ccm kufanya madudu yaliyofanywa 2019, 2020, na 2024.
..Nini kinapaswa kufanyika?
..Kwanza tukubaliene sisi wote ni ndugu, na tuna HAKI SAWA.
..Tukae chini kama Watanzania tutengeneze utaratibu ambao utawezesha uchaguzi kuwa HAKI ili wadau wote waridhike.