Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, uko sahihi. Culture siyo universal. Ulaya na Afrika ni tofauti. Ila kama nilivyosema Afrika tunaumizwa na fikra za kijima ambazo zinadumisha kitu inaitwa gender roles stereotype. Ndiyo maana tuliaminishwa mwanajeshi alipaswa kuwa mwanaume. Pilot mwanaume, nurse mwanamke na mhudumu wa hoteli au baa mwanamke!Umejadili kisomi, na Kwa hoja Kwa Hilo nakupongeza lakini Jambo moja la hakika ni kuwa hoja za kisomi mara nyingi ni irrelevant katika maisha halisi.
Ndio maana sishangai mtu anataaluma ya uchumi lakini Hana la maana katika uchumi nje ya kuajiriwa.
Hata wewe pia na taaluma yako ya Gender na sijui Development unaweza ukawa mzuri kwenye nadharia na Quotation lakini zikawa irrelevant na mazingira halisi.
Hii dunia inamataifa mengi yenye tamaduni nyingi, tunatofautiana Kwa mambo mengi kiakili, kimaumbile, kiimani, kitabia ya nchi, n.k.
Mazingira ya Ulaya ni tofauti na mazingira ya Afrika,
Muafrika sio Mzungu, ingawaje wanaweza kuunganishwa na ubinadamu wao.
Wazungu Kama binadamu wengine wenye utofauti na waafrika pamoja na kukihangaisha kusawazisha Gap la kijinsia bado wameshindwa Kwa kiasi kikubwa na athari zake ni kubwa kuliko manufaa.
Sikatai wanawake wasipewe haki zao, Ila napingana na wao kugombea mambo yasiyo wahusu ikiwemo suala zima la Utawala.
Hakunaga haki za hivyo, labda tuilazimishe lakini Napo haitowezekana.
Mimi ni muumini wa mfumo dume dunia ingalipo Mimi nikiwepo.
Kama wanawake wengi hawampendi basi FURAHINI kwa kuwa atashindwa uchaguzi wa 2025.Mkuu, sio mkeo tu Bali wanawake wengi sana hawampendi labda akina Ummy Mwalimu na Gaudensia Kabaka. Wanawake wengi mpaka wanaporomosha matusi makubwa dhidi yake.
Mimi sio mwandika Sifa zisizokuwepo. Wewe unakaa Tanzania ipi ambako mama anapendwa? Mimi naeleza hali halisi ilivyo mtaani.Kama wanawake wengi hawampendi basi FURAHINI kwa kuwa atashindwa uchaguzi wa 2025.
Mimi nawashangaa mnasema hamumkubali Rais SSH halafu mnamtahadharisha kuhusu dira/ falsafa yake ambayo mnaiona ni mbaya. Hiyo ni advantage kwenu ya kumshinda sasa!!
Mbona mnateseka nyinyi wenyewe??
Rais SSH piga kazi, simamia unachokiamini kwa faida ya Nchi yetu
Ninekubaliana na wewe hapendwi na ndiyo maana nasema FURAHINI kwa vile hamtamchagua. Mbona hunielewi?Mimi sio mwandika Sifa zisizokuwepo. Wewe unakaa Tanzania ipi ambako mama anapendwa? Mimi naeleza hali halisi ilivyo mtaani.
Wewe Brigedia Chan-ocha ni porn star. Naona unaandika mambo ya ngono tu. Wenzio wanajadili ubongoMama kupata tu cheo hicho kaanza kumpandishia mume wake mabega ya kutaka usawa, kwa nini hakuyasema hayo alipokuwa makamu wa Rais?
Huo Usawa anaouhubiri huyo mama ni upi kama Mwanaume ndiye anayemuoa mwanamke kwa tamaduni zetu? aanze kwanza kubadilisha hili la kuoana na wanawake wawe na haki ya kuoa mwanaume.
Pia, huo usawa anaouhubiri ni upi haswa ikiwa wakati wa kusex ni mwanaume ndiye anaye.to.mb mwanamke? abadili na hili ili na wanawake nao waanze kuwat....wanaume
Vile vile, kuna style nyingi sana wakati wa kusex, lakini nyingi ya hizo ni mwanaume ndiye huwa anamlalia mwanamke, huo usawa hautakaa utokee kamwe, aache kuwadanganya wanawake wenzake, wakianza kupewa talaka hatawasaidia na hatakuwepo
😀😁😁Anamaanisha
Na sisi tunapaka Inna na Wanja na Poda ?
Na kuvaa pedi au nini
Mwache wamsikie wenye Dini yao kama hatapigwa fatwa
Kwakweli huyu ni wa kuwekwa pembeni tu,hata yeye mwenyewe anajua hawezi ndio maana anataka kubebwa na jinsia yake,hoooo wanawake tunaweza wanawake tunaweza kama unaweza fanya tuone sio maneno mtupu.Sasa kama hana hoja za maana na za kimaendeleo afanyeje?Hiyo ndiyo hoja pekee aliyonayo.Hilo ndilo chaka lake la kuficha madhaifu ya uongozi wake.
Unamlazimisha aongee cha maana ambacho hana?Unamlazimisha aongee cha maana wakati kichwani ni debe tupu?
Cha maana ni sisi sasa kufanya yetu kwa kuwa mamlaka hutoka kwetu na uwezo wa kumweka pembeni tunao.
Madaraka matamu ,mwaka 2021 wanawake wanawaza kumsimamisha mwanamke mwenzao 2025.Bi mkubwa nakukumbusha just in case ulisahau mwaka fulani ulialikwa na wanawake kama.mgeni rasmi katika siku ya wanawake duniani enzi hizo ukiwa Makamu wa Rais.
Siku hiyo uliwaambia wanawake kwamba wewe pamoja na kuwa Makamu wa Rais ila ukifika nyumbani unakuwa mke na unapiga magoti kwa mumeo na kumuandalia chakula, leo umesahau ile kauli ya kwamba wanawake hawapo sawa na wanaume? Dini yako ya kiislam imekulea hivyo? Havi mashababi na maulamaa saivi wanakutazama tu.
Sipati picha Talibani wanatutazamaje sa hii.
Acha kabisa aiseeMadaraka matamu ,mwaka 2021 wanawake wanawaza kumsimamisha mwanamke mwenzao 2025.
Sitampa kura yangu kwasababu Urais umemuelemea sana,Samia ni dikteta anaeumiza watu kuliko dikteta Magufuli:
1.Dikteta Samia amepiga pini mikutano ya ndani ya vyama vya siasa ambayo ipo kwa mujibu wa sheria.
2.Dikteta Samia anabambikizia wapinzani kesi.
3.Juzi serikali imetishia watu huko twitter kuwa ni marufuku kutoa maoni yao kitu ambacho ni kinyume na katiba yetu.
4.Dikteta Samia anatumia fedha za umma bila budget kupita bungeni wala wananchi kuambiwa matumizi(refer royal tour)
5.Wasiojulikana wamerudi tena kama enzi za dikteta Magufuli.Refer Moses Lijenje ambae mashahidi wamedai mahakamani kuwa amepotezwa.
6.Dikteta Samia anaficha wananchi mambo ya msingi sana yanayoendelea hapa nchini,mfano juzi kuna kero za muungano zimetatuliwa lakini hakuna anaejua kilichofanyika au pia kwenye ishu ya gaidi Hamza hakuunda tume huru.
7.Dikteta Samia ameshaiweka mahakama mfukoni mwake.Refer alivyohojiwa na BBC na kudai kuwa Mbowe ni gaidi na kudanganya dunia kuwa washtakiwa wenzake na Mbowe tayari walishahukumiwa.Hii ni kuenfluence mahakama.
8.Dikteta Samia ameshaviweka vyombo vya habari mfukoni mwake.Katika kesi ya Mbowe hakuna TV wala radio inayothubutu kwenda live achilia mbali magazeti kuripoti mwenendo wa kesi hiyo kwa uwazi.
9.Dikteta Samia anakaba koo wanaume.Hataki kuwasikia wakati ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa katiba yetu.
10.Dikteta Samia anagawa hela pasu kwa pasu kati ya Zanzibar na Tanzania bara kitu ambacho ni kinyume na katiba yetu.Refer kwenye hela ya maandalizi ya nane nane ambayo hayakufanyika na hela ikapangiwa matumizi mengine kama sijachanganya file.View attachment 1956836
Huyu mama huyu ...ww mwache tu [emoji2961][emoji2961]Anatamani kuwa mwanaume, hajiamini
Huyu mama huyuMawasilisho ya hoja yapo vizuri sana,naomba kukuunga mkono japo hata kuelewa huyo ulie mpoint na watu walio kama yeye na pengine hata dunia kwa ujumla.
Ile kusema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe naikubali sasa kwa vile huku mtaani wakina mama wanavyomnanga mh utadhani sio mwanamke mwenzao.
Sent using Jamii Forums mobile app
A REAL MAN UKIONGEA POINT YENYE UJAZO .....[emoji123][emoji123]Sasa kama hana hoja za maana na za kimaendeleo afanyeje?Hiyo ndiyo hoja pekee aliyonayo.Hilo ndilo chaka lake la kuficha madhaifu ya uongozi wake.
Unamlazimisha aongee cha maana ambacho hana?Unamlazimisha aongee cha maana wakati kichwani ni debe tupu?
Cha maana ni sisi sasa kufanya yetu kwa kuwa mamlaka hutoka kwetu na uwezo wa kumweka pembeni tunao.
Huwa hategemei kura ya mtu katika kushinda urais.Sitampa kura yangu kwasababu Urais umemuelemea sana,
Sitampa kura yangu kwasababu nataka rais Mtanganyika na sio Mzanzibar,nikiiywa mbaguzi potelea mbali, haiwezekani wao Wana rais wao huko kwao halafu na huku wawe wao
Yana mwisho,Sasa wanafanya kampeni za nini si waseme tu nchi itatawaliwa na waoHuwa hategemei kura ya mtu katika kushinda urais.View attachment 1959125