Nimesoma andiko lako; ni ama hujui nini linazungumziwa kuhusu concept ya gender equality au ni mtu very primitive na mwenye primitive notion ya patriarchy system. Nataka nikusaidie ili usirudi tena kumjadili Rais kitoto namna hii.
Mosi, kuanzia first wave feminism (1920) kule Marekani, watu kama Suzan Anthony, walipigania haki ya wanawake kuchagua na kuchaguliwa katika
Umejadili kisomi, na Kwa hoja Kwa Hilo nakupongeza lakini Jambo moja la hakika ni kuwa hoja za kisomi mara nyingi ni irrelevant katika maisha halisi.
Ndio maana sishangai mtu anataaluma ya uchumi lakini Hana la maana katika uchumi nje ya kuajiriwa.
Hata wewe pia na taaluma yako ya Gender na sijui Development unaweza ukawa mzuri kwenye nadharia na Quotation lakini zikawa irrelevant na mazingira halisi.
Hii dunia inamataifa mengi yenye tamaduni nyingi, tunatofautiana Kwa mambo mengi kiakili, kimaumbile, kiimani, kitabia ya nchi, n.k.
Mazingira ya Ulaya ni tofauti na mazingira ya Afrika,
Muafrika sio Mzungu, ingawaje wanaweza kuunganishwa na ubinadamu wao.
Wazungu Kama binadamu wengine wenye utofauti na waafrika pamoja na kukihangaisha kusawazisha Gap la kijinsia bado wameshindwa Kwa kiasi kikubwa na athari zake ni kubwa kuliko manufaa.
Sikatai wanawake wasipewe haki zao, Ila napingana na wao kugombea mambo yasiyo wahusu ikiwemo suala zima la Utawala.
Hakunaga haki za hivyo, labda tuilazimishe lakini Napo haitowezekana.
Mimi ni muumini wa mfumo dume dunia ingalipo Mimi nikiwepo.