Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

Zaidi ya kutafuta kuwa mkuu wa wachawi sioni kingine anachotafuta huyu mama
 
Wanajua wanachokifanya, Wakoloni waliwatumia Machief kutawala the rest, Kenya Vita ya Kikabila huletwa na hao machief wanaotumiwa na Wanasiasa.
Kinachotokea ni hivi Wakoloni/Wanasiasa huwapa fedha na goodies nyingine halafu hawa machief kwa sababu wana command respect kwenye jamii wanayoiongoza huenda kuwafanyia Kampeni Wanasiasa/ Wakoloni na wanafanya hivyo kwa sababu hali ni mbaya na hawakubaliki.

Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu huu Uraisi wa sasa, kwa nini yote haya ?

Kila kitu kimepangwa!
 
Hayo mawazo yako mepesi sana utumwa wa fikra mbaya, hutakaa uwe mzungu never , africa is africa and for african customs and traditions. You havnt lived the Wh questions esp. critical and analytical thinking of every wh. Agrarian perspective from western education, in a nutshell.
 
Political stratgey isiambatane na kejeli ya mila, mshambulia mhusika lakini si mila na utamaduni wa watu
 
Mungu ni dhana na shetani ni dhana. Usifungwe na utamaduni wa kimagharibi. Hata sisi tunaweza kuwa na mungu wetu siyo lazima huyo mungu aliyeletwa na wazungu na wewe ukakalilishwa bila kujua
Kwa hiyo kuna Mungu wangapi.
 
Cultural Tourism siyo matambiko! Rais hashiriki matambiiko bali ana promote utamaduni wetu uwe wa kitalii. Tusipende kukosoa tu kila kitu.
 
Huyu mama namwonea huruma wanavyompeleka puta, huu upuuzi si aukatae, kama vipi awaachie uraisi wao,

Wanamfanya aonekane kituko kisa uraisi 2025
Nawaza Sana kwamba washauri na wasaidizi wa mheshimiwa Rais wanalenga nini? Nchi na wananchi Kwa ujumla watapata tija gani katika hili?
Haya mambo ya uchifu, ukabila na ukanda,Nyerere aliyapiga Vita Sana.Na kiukweli alikuwa sahihi Sana
 
Kakojoe ulale..wewe mchamba wima.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii kitu imeandaliwa kimkakati na system ili kuangalia hoja za watu wata jitokeza vipi hasa juu ya issue ya Mbowe. Ndio maana waka kusanya watu Boma kama trial. Na ujumbe wameupata.
Hoja yako haina mashing mbona JPM alikuwa anakusanya huko na alikuwa anapondwa na hao kina Mbowe.
 
Tawala za kichifu ziliwahi kuwa zetu waliongoza watu wetu wakaishi na kwa baadhi ya jamii walifanikiwa chini ya tawala hizi.
Na ndiyo kuna baadhi ya tamaduni zao zimepitwa na wakati mathalani mfhmo dume na ushirikina lakini haya yote yanaweza kurekebishwa na kupata kitu ninachoita “uchifu wa kisasa”

Ni kama marekebisho walofanya waingereza kwenye tawala zao za kifalme.
 
Hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…