peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Upotevu wa kodi Za wananchiKwani kuna nini hata sielewi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upotevu wa kodi Za wananchiKwani kuna nini hata sielewi?
Zaidi ya kutafuta kuwa mkuu wa wachawi sioni kingine anachotafuta huyu mamaTangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Hayo mawazo yako mepesi sana utumwa wa fikra mbaya, hutakaa uwe mzungu never , africa is africa and for african customs and traditions. You havnt lived the Wh questions esp. critical and analytical thinking of every wh. Agrarian perspective from western education, in a nutshell.Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Mungu ni dhana na shetani ni dhana. Usifungwe na utamaduni wa kimagharibi. Hata sisi tunaweza kuwa na mungu wetu siyo lazima huyo mungu aliyeletwa na wazungu na wewe ukakalilishwa bila kujuaHuwezi kuwa kwa Mungu na tena ukawa kwa shetani 😈 hilo halipo lazima uchague moja.
Kwa hiyo kuna Mungu wangapi.Mungu ni dhana na shetani ni dhana. Usifungwe na utamaduni wa kimagharibi. Hata sisi tunaweza kuwa na mungu wetu siyo lazima huyo mungu aliyeletwa na wazungu na wewe ukakalilishwa bila kujua
Cultural Tourism siyo matambiko! Rais hashiriki matambiiko bali ana promote utamaduni wetu uwe wa kitalii. Tusipende kukosoa tu kila kitu.Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Nawaza Sana kwamba washauri na wasaidizi wa mheshimiwa Rais wanalenga nini? Nchi na wananchi Kwa ujumla watapata tija gani katika hili?Huyu mama namwonea huruma wanavyompeleka puta, huu upuuzi si aukatae, kama vipi awaachie uraisi wao,
Wanamfanya aonekane kituko kisa uraisi 2025
Mtafute mungu wako na siyo huyo mungu wa wazunguKwa hiyo kuna Mungu wangapi.
Hoja yako haina mashing mbona JPM alikuwa anakusanya huko na alikuwa anapondwa na hao kina Mbowe.Hii kitu imeandaliwa kimkakati na system ili kuangalia hoja za watu wata jitokeza vipi hasa juu ya issue ya Mbowe. Ndio maana waka kusanya watu Boma kama trial. Na ujumbe wameupata.
Hatari snTawala za kichifu ziliwahi kuwa zetu waliongoza watu wetu wakaishi na kwa baadhi ya jamii walifanikiwa chini ya tawala hizi.
Na ndiyo kuna baadhi ya tamaduni zao zimepitwa na wakati mathalani mfhmo dume na ushirikina lakini haya yote yanaweza kurekebishwa na kupata kitu ninachoita “uchifu wa kisasa”
Ni kama marekebisho walofanya waingereza kwenye tawala zao za kifalme.
Mipango au project za wapiga dili hizo. Mama anaingizwa king, na hana huruma na hizo hela za watanganyika.Huyu mama namwonea huruma wanavyompeleka puta, huu upuuzi si aukatae, kama vipi awaachie uraisi wao,
Wanamfanya aonekane kituko kisa uraisi 2025
Anahimiza watu kumwomba Mungu, kesho yupo matamasha ya kimila akifanyiwa matambiko.Huwezi kuwa kwa Mungu na tena ukawa kwa shetani [emoji48] hilo halipo lazima uchague moja.