mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Mataka alikuwa ana bifu na mawaziriSijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataka alikuwa ana bifu na mawaziriSijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
Ila njombe anaenda kuupiga mwingi zaidiSijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
Hiv huyu si anarudi jeshini sasa?
Nikazie au nijibu je? mtaniHoyeee[emoji23][emoji23]
Hizi assumption mimi huwa siamini kama mpo serious wakuu, unakuta mtu labda alikuwa waziri kwa miongo kadhaa (mf Lukuvi) kisha akitumbuliwa tuamini kwamba atakuwa anapigwa mionzi ya jua au kushika bomba la daladala kama sisi?[emoji23]Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Yupo, yule jamaa wa kampuni ya simu kule mwanza alikataa uteuzi wa Magufuli kuwa DC, kilichomkuta huwezi amini.Hivi kuna ambaye amewahi kukataa teuzi?
Miongoni mwa vijana walioletwa kwenye tasnia na the late, ni Makonda tu ndiyo alijua kusomba mali za kutosha. Kama ni for living decently tu, huyu atakula hela mpaka ataziacha.Maskini. Ndio kwanza nyumba yake iko kwenye lenta! Sijui atakuja kupanga upade mmoja Sinza! [emoji3][emoji3][emoji3]
CCM hawatabiriki si ubaona Chalamila karudi basi usishangae Hapi na Makonda kupewa shavu tena.Ally Hapi wamemtapika.
Amelala akiamka atakutana na meseji za pole
Aisee yani uwe mkuu wa mkoa alafu uje kupigwa vumbi,ina maana ulikua hujajipanga maisha baada ya ukuu wa mkoa?😂Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Yes hasa kafulila na ali happy.Waliokosa teuzi waende wakajiajiri
Afu wanazingua unakuta mtu abafanya mambo super hata hajamaliza wanamtoa.Sijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
CCM huwa hawasahauliani mkuu, wanapeana ulaji kila inapobidi. Hawa wote unaowaona wamewekwa nje ya track, mbeleni kidogo utawaona kwenye system tena.Chalamila ndani ya nyumba!!