butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
To the Ndumba na ngai!Resurgence! Renaissance! Rejuvenation! Regeneration! Resumption!View attachment 2306441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To the Ndumba na ngai!Resurgence! Renaissance! Rejuvenation! Regeneration! Resumption!View attachment 2306441
Huyu Chalamila ni yule aliyefukuzwa kazi mwaka jana akaanza kuimba imba mapambio au ni mwingine?Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa katika orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.
Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na baadae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.
======
Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345
😁😁 Labda Rais wa TFF,CCM Ina wenyewe.Mtaka alimdharau nani na lini.
Au ni ule mgongano wa mawazo na Ndalichako? Nadhani alikuwa na hoja tena nzuri sana.
Yule jamaa ni kiongozi tena atakuja kuwa Rais wa hii nchi.
Hata wakiwemo wana kusaidia nini? Low mindRaisi amefanya teuzi, mikoa yote ya Tanzania Bara ipo kwenye mkeka, kasoro Mkoa wa Simiyu tu.
Tayari watu wana assume Kafulila kaliwa kichwa, pamoja na Mkoa wake kitoonekana kwenye huo mkeka.
Zuhura Yunus weka sawa mambo yako, makosa madogo madogo yanajirudia sana, kila siku na jambo jipya.
Kwanini useme hivo????!Sijui mpoje sometimes yani kama majinga
Mzee wa fitnaSoma hiyo taarifa ya uteuzi kipengele cha tisa. (9).
Kuna mkuu wa mkoa mpya.
Jamaa mmoja wa ushirika alijinyonga akaacha ujumbe akisema anamuogopa kafulila(nadhani Kuna hela zilipigwa huko ushirika).Kapiga marufuku magari madogo kubeba abiria ikawa amri ya nchi nzima, nadhani huko ni sherehe. Mara agombane na watu wa AMCOS.
Hata wasipotaka kujua njaa na kupoteza influence kutawajulisha.Aje huku nimfundishe kubeti. Maisha lazima yaendelee.
Hata sie tuliwahi kuwa kwenye viyoyozi.
Siku naambiwa paki hapa gari letu, ajira ikaisha nilidhani ndio mwisho wa Dunia.
Leo hii Mungu si Athumani, napandisha kaghorofa, maisha yanaendelea kama kawa.
So, waliopigwa chini, wajue kabisa kuwa maisha lazima yaendelee...
Duh kwanini unasema hivyo mkuu??Mzee wa fitna
Unafurahia Kafulila kuondolewa kwanini?Duh kwanini unasema hivyo mkuu??
Huyu nae kaponzwa na school bus nn?
Wapi hapo nimeonesha furaha??Unafurahia Kafulila kuondolewa kwanini?
Am sorry mkuuWapi hapo nimeonesha furaha??
Kipenge namba tisa ni teuzi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora.Soma hiyo taarifa ya uteuzi kipengele cha tisa. (9).
Kuna mkuu wa mkoa mpya.