Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.

Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji.

Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:
View attachment 2648638View attachment 2648639View attachment 2648640View attachment 2648641

View attachment 2648656View attachment 2648657View attachment 2648658View attachment 2648659View attachment 2648661View attachment 2648662View attachment 2648663
Huwa Kuna tija Gani kuteua na kuhamisha watu namna hii?
Wizi,uzembe,ufisadi upo pale pale,nchi Haina pesa,ajira hakuna,Maisha magumu
 
Unapitia majina unagundua viongozi waliopo na waliopita watoto wao wameshakua na sasa wameanza kuwaingiza kwenye systems za Gavoo.
Majina mengi ni very common, kama siyo kwenye siasa basi kwenye majeshi yetu.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji. Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:View attachment 2648649View attachment 2648650View attachment 2648651View attachment 2648652View attachment 2648653View attachment 2648654View attachment 2648655View attachment 2648660View attachment 2648664View attachment 2648665
Teuzi zote hizi hata mtu mmoja kwenye ukoo wangu hayupo hii nuksi ya aina gani wakurungwaaa..!
 
Huko kisarawe ni Wamama watupu kuanzia mkuu wa wilaya, katibu tawala, mkurugenzi, wakuu wa idara.....hata Kama 50/50 sio poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha utajua hujui
 
Back
Top Bottom