tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Oooh sawa,Mungu ambarikiNi mtoto wa Magufuli wa kuzaa na marehemu mkewe yule wa kwanza.Ruth ni katibu Tawala Morogoro, tokea Baba yake akiwa hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh sawa,Mungu ambarikiNi mtoto wa Magufuli wa kuzaa na marehemu mkewe yule wa kwanza.Ruth ni katibu Tawala Morogoro, tokea Baba yake akiwa hai.
Ndo hivoUnapitia majina unagundua viongozi waliopo na waliopita watoto wao wameshakua na sasa wameanza kuwaingiza kwenye systems za Gavoo.
Majina mengi ni very common, kama siyo kwenye siasa basi kwenye majeshi yetu. Hadi watoto wa akina Nnape wameshakua sasa
Hizi zinafunguka kwa kutumia nini kwangu haifingukiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji.
Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:
View attachment 2648638View attachment 2648639View attachment 2648640View attachment 2648641
View attachment 2648656View attachment 2648657View attachment 2648658View attachment 2648659View attachment 2648661View attachment 2648662View attachment 2648663
Ndio, alikuweko kabla ya urais qa SAMIAView attachment 2648676
Huyo bi Ruth John (70) ni mtoto wa JPM?
Mipira kufanya vizuri na wasaniiHilo tunaweza,bandari hatuwezi. Nchi hii
Wanakuja muda sio mrefu utawasikia wakipiga na yowe😂😂Wale wakuhesabu wakristo wangapi na waislam wangapi bdo hawajafika?
*****Mtoto wa nape nnauye,mtoto wa magufuli,mtoto wa ndumbaro 😎😎😎😎
Tuendelee kubaki kwenye hoja yetu muhimu - bandariAnajaribu kutuondoa kwenye ujinga waliotufanyia kule bandarini, teuzi za kila wiki sioni maana yake.
inawezekana bdo wapo kwenye zoezi la uhakiki, maana mkeka mrefu sana huuWanakuja muda sio mrefu utawasikia wakipiga na yoweí ½í¸í ½í¸
Kamrudisha yuko songeaMagufuli kumbe alimpa mwanae Ruth,ukatibu tawala. Yule aliyekuwa Kisarawe hajarudishwa tu kwenye ukatibu tawala, yule alitolewa na Magufuli kisa alimkula Jocate.
Namba tafadhali ...Mtoto wa nape nnauye,mtoto wa magufuli,mtoto wa ndumbaro 😎😎😎😎