Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Huwa Kuna tija Gani kuteua na kuhamisha watu namna hii?
Wizi,uzembe,ufisadi upo pale pale,nchi Haina pesa,ajira hakuna,Maisha magumu
 
Unapitia majina unagundua viongozi waliopo na waliopita watoto wao wameshakua na sasa wameanza kuwaingiza kwenye systems za Gavoo.
Majina mengi ni very common, kama siyo kwenye siasa basi kwenye majeshi yetu.
 
Teuzi zote hizi hata mtu mmoja kwenye ukoo wangu hayupo hii nuksi ya aina gani wakurungwaaa..!
 
Huko kisarawe ni Wamama watupu kuanzia mkuu wa wilaya, katibu tawala, mkurugenzi, wakuu wa idara.....hata Kama 50/50 sio poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…