Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Msipolipiwa mkopo mwezi ujao msije kulialia
 
Anafanya biashara gani hadi atulipie wote hivyo...au ameuza nchi
 
Sijaelewa
 
Mammlaka zije zitoe ufafanuzi tusije kula pesa ya Kodi tukiamini mtumaji kakosea namba
 
Mkuu Ulitaka akakatikiwe mauno mama yako au? ,Mimi siwezi acha ipongeza serikali yangu maana ndo inaniweka mjini,sasa wewe Ulitaka nimpongeze yule Mrs Robert Amsterdam au yule Makengeza?
Wanataka umpongeze yule mabaga fresh wa ughaibuni au DJ FAM
 
Sometime huwa kunatokea changamoto ktk mfumo wa salary slip.
Usishangilie sana,subiri next month uone kama itabaki hivyo,au la.
 
Benki kuu sijui huwa wamelala. Mfano Finca wanapandisha riba wanavyotaka wananchi wa kawaida wanaumia sana huku mmekaa kimya tuu mama angeifumuwa bot
 

Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao​


Hii habari imekuwa ikisambaa kwa Kasi sana na serikali haijatoa ufafanuzi wowote kwakua wewe ni msemaji wa serikali tunaomba ufafanuzi kipi kimetokea.
 
Ni kwa sababu una akili kisoda huwezi elewa.
 
Hiyo ni endelevu au ni adjustments za mwezi mmoja tu nikimaanisha huko kuona umelipiwa mara mbili kutaendelea miezi inayofuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…