Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu.Amesifia sana. Wacha akumbukwe. Ila hana uwezo wa ufanisi katika nafasi hiyo
Kuna shida kubwa sana serikalini kuliko tunavyodhani.nchini Geneva
ongeza juhudi Lucas Mwashambwakwa staili hii hata Lucas Mwashambwa atakula teuzi
Skunk cost fallacy hajakumbukwa?Chawa wa Mama hao
Ngoja tusubiri hadi aapishwe , ya diwani si umeyasikia ?Katumbili kameula tena kakivuruga kanatupwa pembeni tena
Unajua kabla alikuwa anapigisha muziki kwenye Kipa imara na birthday huko Kigoma , spika zake aliweka nembo ya jina lake , sasa kurudi kule hakutakaKapiga sana Domo hapo mwishoni mwa Mwaka acha tumbili wa watu akumbukwe
Kama Erythrocyte inavyomlipa kwa kujikomba kwa Mbowe ma Chadema!Kujikomba katika sioasa za Bongo kunalipa
Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP).
Hata kwa akili ya kawaida mfungwa Mbowe angewezaje kunilipa akiwa jela ?Kama Erythrocyte inavyomlipa kwa kujikomba kwa Mbowe ma Chadema!
Hizi PDF za usiku sio poaWadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232
=====
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.
Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).
Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.
Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.
Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.
Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.
Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Na wakubwa wanasema ukishaanza mchezo wa uchawa huwez kuacha maisha yako yote. Yaan ukiwa mtu wa kusifia sifia sana watu ili upate kitu huwez aacha hyo tabia kamweHizi teua tumbua zinazoendelea zitatuletea matatizo. Maana machawa na waimba mapambio wataongezeka sasa ili wateuliwe na walio madarakani wasitumbuliwe.
Kina Ally Hapi wataibuka sasa hivi kusifia hata visivyosifiwa vya mama ili waonekane na wao.
Na wale walio na nafasi zao bado watasifia mpaka jinsi mama anavyotembea ili tu wasitumbuliwe.
Cheo chenyewe wala hakieleweki yaani