Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Rais Samia afanya uteuzi, Kafulila awa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP)

Siasa kwa wafu wengine ni ajira...
 
Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP).

Wizara ya Fedha na Mipango

Commissioner of Public Private Partnership, Ministry of Finance and Planning, Tanzania.

Source : Ministers and Management Team | MoF - Ministry of Finance and Planning


Dr. John. R. Mboya, former Commissioner for Public-Private Partnerships, Ministry of Finance and Planning, United Republic of Tanzania


Roles to coordinate the preparation of the PPP Policy of 2009, PPP Act Cap 103 of 2010 (Revised in 2014 and 2018); and PPP Regulations of 2015 that have been repealed by PPP Regulations, 2020. He coordinates and advise on the preparation of several PPP pipelines under various stages of the PPP life cycle.
Source : P3 World Council
 
Kafulila ni mtu mwenye maono sana, namkumbuka alipopewa jina la "tumbili" baada ya kutoa ukweli bungeni.
 
Safi watu makini kama hawa ndio taifa linawaitaji mnooo. Piga kazi bro
 
Wadau,
Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa!View attachment 2470231
View attachment 2470232

=====

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa - Muhimbili. Dkt. Mkondya ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.

Amemteua Bw. Justine Peter Mwandu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC). Bw. Mwandu ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Tanzania Reinsurance (TANRE).

Amemteua Prof. Verdiana Grace Masanja kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI). Masanja ni Profesa wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela.

Amemteua Bw. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania. Bw. Mwakapeje alikuwa Mkurugenzi, Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma, Wizara ya Katiba na Sheria. Bw. Mwakapeje anachukua nafasi ya Bw. Casmir S. Kyuki ambaye atamaliza kipindi chake tarehe 07 Januari, 2023.

Amemteua Bi. Fatma Mohamed Abdallah kuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Abdallah ni Meneja wa Kampuni ya Puma Energy nchini Geneva. Aidha, Bi. Abdallah anachukua nafasi ya Dominic Dhanah ambaye amemaliza muda wake.

Amemteua Bw. David Zacharia Kafulila kuwa Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Bw. Kafulila ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mstaafu.

Teuzi hizi zinaanza mara moja.
Hizi PDF za usiku sio poa
 
Hizi teua tumbua zinazoendelea zitatuletea matatizo. Maana machawa na waimba mapambio wataongezeka sasa ili wateuliwe na walio madarakani wasitumbuliwe.

Kina Ally Hapi wataibuka sasa hivi kusifia hata visivyosifiwa vya mama ili waonekane na wao.
Na wale walio na nafasi zao bado watasifia mpaka jinsi mama anavyotembea ili tu wasitumbuliwe.
Na wakubwa wanasema ukishaanza mchezo wa uchawa huwez kuacha maisha yako yote. Yaan ukiwa mtu wa kusifia sifia sana watu ili upate kitu huwez aacha hyo tabia kamwe
 
15 May 2013

In Focus: Public-Private Partnerships



In Focus, a television series produced by UONGOZI Institute, presents an in-depth overview into the key issues affecting sustainable development in Africa. In this interview, we explore Public-Private Partnerships (PPPs) with Mr. Edward Yescombe, a renowned consultant on structured finance, including project finance, leasing, export credits, property and asset finance. Mr. Yescombe has consulted on public-private partnerships since 1998, advising project sponsors and government entities on the financial aspects of PPP contracts, as well as on policy issues. Edward Yescombe has authored the "Principles of Project Finance", recognized as a leading work on the subject. His second book, "Public-Private Partnerships: Principles of Policy and Finance" was published in 2007.

Source : UONGOZI Institute
 
Back
Top Bottom