Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.

Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Ee zamu ya wavuvi wa pomboo l walima karafuu na wazee wa vikoi kiunoni hii.

Nyinyi washika fimbo na mikuki tulieni muendelee kupokea kichapo cha bei za unga na maharage.

Ebo
 
Back
Top Bottom