Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Kwamba Mahera bado anaweza kuaminiwa kwenye Uongozi!!!?
Matatizo ya uongozi ndani ya Ccm hauwezi kuondolewa na fikra za watu wale wale.
Juzi kamteua Biswalo kuwa jaji baadae ana kuja kulalamika kapigwa pesa za mahakama.

Mahera kaharibu uchaguzi 2020. Leo ana pewa ukatibu mkuu badala ya kipelekwa mahakamani. Mambo ya aibu kabisa. Huwezi kuona huu ujinga mahali pengine zaidi ya Tanzania.
KATIBA MPYA NI SASA!!!
 
Katibu mkuu utumishi Ndumbaro alikua hovyo kupindukia, alikua anafanya kazi kwa chuki za magufuli, hakuweza kubadilika kwenda na kasi ya sasa ya mama yetu mpendwa sana.

Ameharibu sana sekta ya ajira kwa kujifanya miungu mtu. We taasisi inahitaji wafanyakazi anakaa na maombi ya ajira zaidi ya miaka.
Aendeeeeee mfyuuuu
 
Matatizo ya uongozi ndani ya Ccm hauwezi kuondolewa na fikra za watu wale wale.
Juzi kamteua Biswalo kuwa jaji baadae ana kuja kulalamika kapigwa pesa za mahakama.
Mahera kaharibu uchaguzi 2020. Leo ana pewa ukatibu mkuu badala ya kipelekwa mahakamani. Mambo ya aibu kabisa. Huwezi kuona huu ujinga mahali pengine zaidi ya Tanzania.
KATIBA MPYA NI SASA!!!
Mkuu nilisoma mara tatu kujua kama kweli mteuliwa ni huyu huyu mchafuzi wa Uchaguzi. Hakika kuwa Kiongozi Tanzania ni rahisi sana kwa kigezo chochote kile. More importantly uwe mwana CCM mtiifu.
 
Back
Top Bottom