Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Wa kwetu Songwe Dk. Shekalaghe simuoni.

Rudia kuchapa
 
Kwa sisi watazamaji teuzi na timua timua ndio raha ya siasa
 
Safu inazidi kupangwa ili kukidhi kazi iendelee ya awamu hii ya sita.

Naona pia makatibu wakuu kadhaa wa mawizara wamehamishiwa kuwa RAS mikoani, hii inaashiria wizarani kuna nafasi za kufanyiwa uteuzi wa makatibu wakuu wa wizara.
 
Naomba kujuzwa kutoka kuwa naibu Katibu Mkuu wa Wizara na kwenda kuwa Katibu tawala wa mkoa hapa ni kupanda au kushuka?
Inategemea na wizara na mkoa wenyewe. Inategemea pia na aina ya kiongozi aliye palee juu. Inategemea pia endapo Putin atamshinda Mmarekani.

In short, inategemea mambo mengine.
 
Wizara ya fedha kuna jambo litawaka si muda mrefu sana.
 
Naomba kujuzwa kutoka kuwa naibu Katibu Mkuu wa Wizara na kwenda kuwa Katibu tawala wa mkoa hapa ni kupanda au kushuka?
Kuna mmoja alitoka kwenye unaibu boss wa taasisi ya wavaa suti zisizo na makoti mpaka ukatibu tawala wa limkoa likubwa lisilo na maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…