Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Bi Mkubwa amechafukwa.....
Wamemchokoza nini sijui...
 
Haisadii chochote! Wala hakuna tija yoyote ile itakayotokea kutokana na hizi teuzi.

Watanzania tulio wengi tunataka Katiba Mpya itakayo punguza haya mamlaka ya kuteua na kutengua kila siku! Lakini pia kuondoa vyeo vya kikoloni, na visivyo na tija yoyote ile katika dunia ya leo! Zaidi tu vinatumika kulipana fadhila na kupeana ulaji.
 
Daadek!
Leo bi mkubwa kachefukwa! Wakuu wa wilaya, leo salini rozali, upanga urudishwe kwenye ala kabla haujawafikia! [emoji41]
Wakimaliza apisha Wakuu wa Mikoa, wa Wilaya wanafuata ili wakaapishwe na Wakuu Wapya
 
Kuna mmoja alitoka kwenye unaibu boss wa taasisi ya wavaa suti zisizo na makoti mpaka ukatibu tawala wa limkoa likubwa lisilo na maendeleo.
Tabora hiyo na huyo mtu jina la kati ni Robert [emoji1][emoji1] code imefunguka
 
Sasa ni dhahiri wakuu wa wilaya wajiandae.
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye vituo vyao vya kazi.

Uapisho wa viongozi hao utafanyika Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 01 Agosti 2022

View attachment 2306488View attachment 2306489View attachment 2306490View attachment 2306491
hawa wasomi wetu ie maprof na ma Dr. naona warudi tu vyuoni watufundishie watoto wetu na wadogo zetu kuliko hvi vyeo vya maafisa tawala etc
 
Back
Top Bottom