Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

Good point [emoji117]

Sikuwahi kufahamu Mkoa ni mkubwa kuliko Taifa. Nashukuru Mkuu kwa shule nzuri.
Hapa tunaangalia wadhfa. Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais mkoani na kwa upande ana nguvu kubwa kuliko waziri. Mkuu wa Mkoa ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na ana mamlaka ya kumtia mtu ndani. Mkuu wa Mkoa ndie anahusika moja na raia wa mkoa tofauti na waziri. Hata makazi yake yana hadhi ya Ikulu ndogo. Ni hivyo hivyo kwa Katibu Tawala. Yeye ndie accounting officer wa mkoa na anasimamia utekelezaji wa miradi yote inayofanyika katika mkoa wake. Waziri ni kiongozi wa kitaifa lakini hana mamlaka kama ya waziri. Sehemu muhimu Waziri anapomzidi Mkuu wa Mkoa ni yeye kuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri. Kwa vile Naibu Waziri hawezi kujivunia hilo kwa sababu yeye sio sehemu ya Baraza la Mawaziri.

Amandla...
 
Awamu hii wanachoweza ni kuteua tu lakini kazi za maana za kuwatumikia wa tz ni sifuri kabisa.
 
Unahisi sina teuzi?
Wenye teuzi wapo bize kusoma miongozo kupitia madodoso/dokezo mafaili yaliyoko mezani kufuatilia taarifa za miradi mikakati kupokea maelezo na kuyatimiza na sio kutwa kushinda jf
 
Hapa tunaangalia wadhfa. Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais mkoani na kwa upande ana nguvu kubwa kuliko waziri. Mkuu wa Mkoa ni mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na ana mamlaka ya kumtia mtu ndani. Mkuu wa Mkoa ndie anahusika moja na raia wa mkoa tofauti na waziri. Hata makazi yake yana hadhi ya Ikulu ndogo. Ni hivyo hivyo kwa Katibu Tawala. Yeye ndie accounting officer wa mkoa na anasimamia utekelezaji wa miradi yote inayofanyika katika mkoa wake. Waziri ni kiongozi wa kitaifa lakini hana mamlaka kama ya waziri. Sehemu muhimu Waziri anapomzidi Mkuu wa Mkoa ni yeye kuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri. Kwa vile Naibu Waziri hawezi kujivunia hilo kwa sababu yeye sio sehemu ya Baraza la Mawaziri.

Amandla...

Waziri ni mkubwa kuliko mkuu wa mkoa,
Mkuu wa mkoa anaripoti kwa Waziri wa Tamisemi...
Mkuu wa mkoa anapeperusha bendera mkoani kwake tu, Waziri nchi nzima...
Waziri ndie serikali, yupo kwenye baraza la mawaziri lenye maamuzi makubwa kwa nchi....

Waziri pia anauwezo wa kumsweka mtu ndani, tushashuhudia hivyo sanaa....

Waziri ana diplomacy passport, mkuu wa mkoa hana...

Waziri ndie husaini mikataba ya uwekezaji

Waziri anakofia nyingi, mbunge pia
 
Wenye teuzi wapo bize kusoma miongozo kupitia madodoso/dokezo mafaili yaliyoko mezani kufuatilia taarifa za miradi mikakati kupokea maelezo na kuyatimiza na sio kutwa kushinda jf
Kushinda jf? Basi sawa
 
Back
Top Bottom